Urusi yasema makombora yake yote yalipiga Kyiv

Urusi yasema makombora yake yote yalipiga Kyiv

Kuna tetesi huko kivu patriotic zimeharibiwa
Wameruka ruka halafu wamekubali. Wamarekani wanasema ikiwa ni kweli basi matengenezo yake lazima yafanyike nje ya Ukraine. Eti ilidondokewa na kinzha.sio kwamba ilipigwa. Wanafanya watu wajinga sana. Yaani Patriot iungue kwa kudondokewa na vibanzi vya kinzha hyapersonic.Wangeuzima moto wake mara moja,. Hizi habari za Patriot kupigwa ni mbaya sana kwa Marekani na wanaziogopa.Na habari ya kuwa mioto yote hiyo kyiv ni mabaki ya makombora yaliyotunguliwa si kweli.Kombora likitunguliwa angani likitua huwa ni vipande visivyo na moto wa kuripua kitu chini mpaka ibidi kuzimwa na magari ya zimamoto..
 
Kuna Habari mbaya kwa sisi tulio upande fulani wa vita. Naomba walioilewa historia vita pili. Mfano USA, USSR (Urusi),UK vipigana dhidi Ujerumani ya Adolf Hitler. Vita Adolf Hitler dhidi ya Joseph Stanley wa Usoviet USSR. Naona kama malengo wa NATO na USSR usoviet ya urusi wa zamani yanafanana. Alafu malengo ya Urusi ya sasa putin nisawa na ya Adolf Hitler ni sasa.Mbona kama Urusi sio nchi ya kijamaa wala kikomonisti. Lakn NATO nchi wanachana za kijamaa, USA ya Biden ni wajamaa democratic. Naye kassel kijamaa ya Ujerumani Olaf scholz apinga ubeberu na amesisitoza dunia ya ukomonisti mpya isiyo na mipaka ana .kwa Maelezo ya Olaf scholz ujerumani anahitaka dunia ile usoviet ukomosti wa Markism.
Mwalimu wako wa kiswahili shule ya msingi anaitwa nani ?
 
Kuna tetesi huko kivu patriotic zimeharibiwa
Ule urushaji wa makombora kutoka vipembe tofauti barani na baharini kulizichanganya Patriot.Hazikujua zipige ipi na ziache ipi.Kumbuka hypersonic ina kasi kuliko sauti.Marekani imekiri kwamba hawakufanikiwa kutengeneza hypersonic kwa hivyo ni wazi kuwa patriot zao bado hazijaweza kuzifuata kinzha hypersonic angani.Na wamekiri kuwa mfumo wa Patriot ni kama mbuni.Hauwezi kujificha ulipo.Unatoa sauti na ishara muda wote kiasi kwamba Urusi tayari keshazijua patriot zote 5 zilizoingia Ukraine.Tusubiri majibu mengine.
 
Mwenye shida ni Zelenskya anayetangatanga kote Ulaya kuomba silaha apigane na mbabe ambaye hapungukiwi na makombora.
Mbona marais wenu wa Afrika akiwemo Samia wanazurura duniani kuomba misaada, hakuna jipya la kushangaza hapo.
 
Siku hizi patriot ni school bus?
[emoji1787]
Screenshot_20230516-214153.jpg
 
Mbona
Kwa mujibu wa DW mashambulizi ya jana yalisababisha uharibifu mkubwa ikiwemo kuporomosha majengo na magari mengi kuwaka moto, lakini pia tukiachana na hiyo habari ya DW kuna video zimeanza kusambaa zikionesha milipuko mikubwa ndani ya Kiev.
Hilo lilishaelezwa na Kamanda wa Ukraine.Mkuu ukidungua bomu lilianguka baadhi ya maeneo yanweza kushika moto kumbuka mle kumejaa vilipuzi tu.Lakini kuanguka kwa Debris ni tofauti sana na bomu lenyewe likifanikiwa kutua.Urus inajaribu kuvuruga mipango ya kijeshi ya Ukraine iliyopo mashariki kwa kurusha rusha makombora ovyo.Bahati mbaya wanajeshi wa Ukraine wao wako serious na kukomboa ardhi yao.Ukraine ikipoza focus kwa kuhangaika na makombora yanarushwa ovyo ovyo maana yake wanampa adui mwanya wa kuikaribia Kyiv kwa kuteka miji.Hii Ngoma itachukua more than two years.
 
sasa shida iko wapi si mlete hayo ma patriotick mengine au yameisha huko store .....leteni mengine kwenye ulingo tuone nani mmbabe ....wa dunia .....
 
Back
Top Bottom