πππAnawatoa jasho la menoPutin msenge sana
Wanachukua moja baada ya jingineNa hapo lazma wachukue
Mkakati umekamilika huu.Na hapo lazma wachukue
Ni kweli kabisa kuna aina ya ufeliji flani ktk mpango kazi wa vikwazo na njia wanazo zitumia kama Putin anazitambua haraka na kutengua mitego yao, Namuonea huruma sana Zelesnky anazunguka kila mahala lakini jamaa anazidi kuteka maeneo kila uchao, ni jambo gumu sana hilo.Oya ila wanangu Putin anajiamini asee. Mbona ni kama matarajio ya wazungu kuangusha uchumi wa Russia na baadae aanguke Putin kwa maandamano ya warusi matarajio haya yanafeli.
Tayari Russia ni nchi namba moja kwa VIKWAZO vya KIUCHUMI duniani. Ajabu ni kwamba katika kipindi hiki uchumi wa Russia umepaa zaidi,
Uzalishwaji wa silaha umepaa zaidi.Russia iliyotegemewa kufa kiuchumi ndani ya miezi mitatu baada ya vita yaani Mei 2022 inazidi kudunda. Russia haionekani ikitetereka kijeshi kwa namna yoyote.
Wazungu hawaelewi wafanye Nini, Kwasasa Putin ndo kwanza ameanzisha igizo jipya kwamba wanataka na kuharibu kushambulia makazi yake.
Bwana Putin anasema malengo yatatimia kwa nguvu za kijeshi kama yatafeli mazungumzo. Kuna kipindi wamagharibi wakikaa kimyakimya wanajiuliza je tumebakiza Nini kuifanyia Nini Urusi? Wanajibu hakuna! Tufanye Nini sasa. Ndo hapo wanaanza kuomba japo mazungumzo!Ni kweli kabisa kuna aina ya ufeliji flani ktk mpango kazi wa vikwazo na njia wanazo zitumia kama Putin anazitambua haraka na kutengua mitego yao, Namuonea huruma sana Zelesnky anazunguka kila mahala lakini jamaa anazidi kuteka maeneo kila uchao, ni jambo gumu sana hilo.
Kwakweli unaweza kuwa na akili na uwezo mkubwa lakini ukazidiwa na kukosa ujanja, na ndicho kinachotoea sasa Putin amekuwa mjanja sana kuliko wamagharibi walivyo fikiri, naamini ametumia uwezo wake kikamilifu kwa kadiri ya kila wamagharibi wanavyo mfawta wanajikuta wanafeli.Bwana Putin anasema malengo yatatimia kwa nguvu za kijeshi kama yatafeli mazungumzo. Kuna kipindi wamagharibi wakikaa kimyakimya wanajiuliza je tumebakiza Nini kuifanyia Nini Urusi? Wanajibu hakuna! Tufanye Nini sasa. Ndo hapo wanaanza kuomba japo mazungumzo!
πππ War mongerPutin msenge sana
Katengeneza hiyo scenario ili ajipe kubali Cha kumtoa zele madarakani rasmiWanamchokoza na wanamfahamu kichwa chake
Sindio π€£π€£π€£Maskini ya Mungu, mwamba Putin anawatafutia sababu ya kuzid kuwatwanga kipondo havi kina Zele boy
PUTIN anazingua sanaOya ila wanangu Putin anajiamini asee. Mbona ni kama matarajio ya wazungu kuangusha uchumi wa Russia na baadae aanguke Putin kwa maandamano ya warusi matarajio haya yanafeli.