Urusi yashikilia ⅓ ya hifadhi ya yuan Duniani

Urusi yashikilia ⅓ ya hifadhi ya yuan Duniani

Russia aliamua kukaa na siri kubwa ili usalama na amani duniani viwepo lakini sasa tutajua ukimya wa Russia ni fumbo kubwa.

Siasa za Urusi za kibabe sana na Putin mbabe Sana, kazuia mbolea na chakula kisitoke dunia inapolia njaa anasema vikwazo ndio vinasababisha chakula kisitoke hapo kahamishia ugomvi mbali ili asionekane mkorofi.

Kitakachofuata kwa Sababu hakuna baunsa kwa njaa nchi nyingi zitajitenga na Marekani na hapo Russia ataweza kufanya nao biashara.
 
Biashara ipi hiyo? Hacha kudanganya watu.
 
Yaani Yuan 1=0.0029 Tsh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hiyo Yuan ina nn kwenye uchumi wa duniani.
Ndugu unasema Yuan Ina nini kwenye uchumi wa dunia? Kwanza unajua Yuan ni fedha ya taifa lipi hapa duniani? Unajua hilo taifa linanguvu gani kiuchumi, Kisiasa, Kibiashara ,kijeshi na Kisayansi na kiteknolojia hapa duniani?Unajua how powerfu yuan is?
 
Muulize huyo dada anajua maana ya devaluation na faida zake?
Sizani kama anajua kuwa thamani ya yuan kuwa chini wakati wote huwa ni lengo kuu la bank kuu ya Uchina na wanazo tools mbalimbali za kuhakikisha inakuwa hivyo
 
Hisa yako ya akili ni ya mawingu mawingu
Yani kila siku nasema jf ndio mtandao unaongoza kwa vijana wasio kua na upeo wa kufikiri , bora mkuu umuache tu na akili zake mgando .yani anafananisha exchange rate na uchumi wa nchi kwa maana hiyo uchumi wa Oman mkubwa kuliko Marekani maana pesa ya Oman 1 sawa na elfu sita ya TZ dollar unaingia Mara mbili na nusu
 
Hiyo Yuan sio (Convertible Currency) hivyo haina maana yoyote katika dunia hii.

Ukitaka kujua hilo ingia kwenye mtandao wa Ali Baba ujaribu kutaka kununua kitu kutoka China uone watakupa bei kwa sarafu gani kisha ndio urudi humu.
 
Kwa miaka mitano mfululizo tangu 2015, Urusi ilijikita kwenye ununuzi wa dhahabu, ni moja ya nchi zilizohodhi dhahabu ya kutosha wakati wengine wakihangaika na Dola au Euro. Kimsingi Putin alijipanga kufanya mageuzi ya namna biashara zinavyo endeshwa kimataifa.
 
Ndugu unasema Yuan Ina nini kwenye uchumi wa dunia? Kwanza unajua Yuan ni fedha ya taifa lipi hapa duniani? Unajua hilo taifa linanguvu gani kiuchumi, Kisiasa, Kibiashara ,kijeshi na Kisayansi na kiteknolojia hapa duniani?Unajua how powerfu yuan is?
Yuan haina chochote kwenye uchumi wa dunia, hiyo ni kama sh tu, kiufupi ipo ipo tu.
 
Back
Top Bottom