Kwa hiyo unataka kusema Urusi mpaka sasa hajui anachokifanya
"Kama habari hii ni kweli."
Mkuu labda nichangie kwa kusema hivi.
Urusi Ina wataalamu wa Kila fani kama vile USA TU.
Mambo mengine ni Siri za ndani za nchi.
Majasusi wa kiuchumi wa Urusi watakua wamepima mambo na kuona kua Kuna umuhimu wa Urusi kuwa na yuan ya kutosha.
Hawa wenzangu na mie Pro USA hawawezi kujua mambo ya ndani ya Urusi au hata tuseme Pakistani.
Ila angefanya hivyo USA wangekuja na Kila sifa hapa.
Humu jukwaani Kuna mtu alileta thread inayosema hivyohivyo kuhusu Israel.
Kua Israel imeweka akiba kubwa ya yuan.
Aisee watu walosifu hatari.
Ni akili ndogo TU kufaham kuwa pengine Russia ilinusa juu ya vikwazo vya fedha yake pengine walijipanga kutumia fedha ya china kufanya biashara na china.
Msemo wetu wa kiswahili udumu,
"Siri ya mtungi aijuaye kata"
Majasusi wa kiuchumi wa Russia wanajua wanachokitaka kwa yuan.