Hakuna cha vijana hapa huo ujinga na upuuzi wenu wadanganye wenzenu vijiweni huko siyo huku JF.Yani kila siku nasema jf ndio mtandao unaongoza kwa vijana wasio kua na upeo wa kufikiri , bora mkuu umuache tu na akili zake mgando .yani anafananisha exchange rate na uchumi wa nchi kwa maana hiyo uchumi wa Oman mkubwa kuliko Marekani maana pesa ya Oman 1 sawa na elfu sita ya TZ dollar unaingia Mara mbili na nusu
Hachana nao hao jamaa wanazani humu kuna vilaza kama wanao wadanganya kwny vijiwe vyao huko.Hiyo Yuan sio (Convertible Currency) hivyo haina maana yoyote katika dunia hii.
Ukitaka kujua hilo ingia kwenye mtandao wa Ali Baba ujaribu kutaka kununua kitu kutoka China uone watakupa bei kwa sarafu gani kisha ndio urudi humu.
1 Yuan= 0.0029 TshWatu Kama Nyie Ndo Mnasababisha JF ionekane imejaa watu Wakipumbavu
1 Yuan =350.07 Tsh
Hiyo Rate uliyoweka Hapa
Haina kitu ni wanajifurahisha tu hapa.Hiyo currency inayochezewa thamani yake na wachina kila siku ina impacts gani kwa uchumi wa Dunia?
kuna watu wengine wanataka tu waonekane wamechangia mada,lakini hawajui lolote,anafikiri yuan ni pesa ya congo..Ndugu unasema Yuan Ina nini kwenye uchumi wa dunia? Kwanza unajua Yuan ni fedha ya taifa lipi hapa duniani? Unajua hilo taifa linanguvu gani kiuchumi, Kisiasa, Kibiashara ,kijeshi na Kisayansi na kiteknolojia hapa duniani?Unajua how powerfu yuan is?
Exchange rates1 Yuan= 0.0029 Tsh
Mkuu nje ya mada, kwa 4M inakua ni Gold kiasi gani (grams)Exchange ratesView attachment 2250572
Mimi mwenyewe nimeshangaa😄kuna watu wengine wanataka tu waonekane wamechangia mada,lakini hawajui lolote,anafikiri yuan ni pesa ya congo..
Duuh !!!😄 kijana umekunywa wanzuki nini😄Yuan haina chochote kwenye uchumi wa dunia, hiyo ni kama sh tu, kiufupi ipo ipo tu.
Kanywa machozi ya SimbaDuuh !!!😄 kijana umekunywa wanzuki nini😄
Siku hizi jf inazidiwa mbaaali kabisa na Facebook kwa vijana wanaojitahidi kuitumia bongo zao ingawaje zamani ilidharaulika. Nadhani watakuwa walihamia huku.Yani kila siku nasema jf ndio mtandao unaongoza kwa vijana wasio kua na upeo wa kufikiri , bora mkuu umuache tu na akili zake mgando .yani anafananisha exchange rate na uchumi wa nchi kwa maana hiyo uchumi wa Oman mkubwa kuliko Marekani maana pesa ya Oman 1 sawa na elfu sita ya TZ dollar unaingia Mara mbili na nusu
Kuna watu wanaamini kuwa USA ni mbingu na Rais wa USA ni Mungu.Ndugu unasema Yuan Ina nini kwenye uchumi wa dunia? Kwanza unajua Yuan ni fedha ya taifa lipi hapa duniani? Unajua hilo taifa linanguvu gani kiuchumi, Kisiasa, Kibiashara ,kijeshi na Kisayansi na kiteknolojia hapa duniani?Unajua how powerfu yuan is?
Watu wenye akili kama wewe ndio mnatakiwa muwe mnachangia mada ili watu wajifunze kutoka kwenu.Kwa miaka mitano mfululizo tangu 2015, Urusi ilijikita kwenye ununuzi wa dhahabu, ni moja ya nchi zilizohodhi dhahabu ya kutosha wakati wengine wakihangaika na Dola au Euro. Kimsingi Putin alijipanga kufanya mageuzi ya namna biashara zinavyo endeshwa kimataifa.
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa USA ni mbinguni na Rais wa USA ni Mungu.Kwa hiyo unataka kusema Urusi mpaka sasa hajui anachokifanya
"Kama habari hii ni kweli."Kwa hiyo unataka kusema Urusi mpaka sasa hajui anachokifanya
Hebu msikilize Rais Putin kwenye mahojiano ya jana: http://en.kremlin.ru/events/president/news/68571Watu wenye akili kama wewe ndio mnatakiwa muwe mnachangia mada ili watu wajifunze kutoka kwenu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kanywa machozi ya Simba
Ndio kitu wanacho fanya kwa Sasa biashara Kati ya china na russia wanatumia yuan na ruble na biashara imeleta faida ya asilimia1000% kitu ambacho hakijawahi kutokea Kati ya biashara ya Russia na china kwa miaka yao yote ya biashara . China pia anafanya biashara ya mafuta na saudia Arabia kwa yuan. Pia BRICS wanapanga kuidhinisha pesa ya yuan na ruble Kutumika katika biashara ndani ya Umoja huo. Iran pia inampango wa biashara yake na china kuanza kutumia yuan .pia Israel nayo inataka kuanza kutumia yuan katika biashara yake na china.inshort exchange ya fedha kwa mataifa mengi yanayofanya biashara na china hapa duniani ni kama wanataka kutumia sarafu ya china katika biashara ya pande mbili na kuepukana na matumizi ya us dollar"Kama habari hii ni kweli."
Mkuu labda nichangie kwa kusema hivi.
Urusi Ina wataalamu wa Kila fani kama vile USA TU.
Mambo mengine ni Siri za ndani za nchi.
Majasusi wa kiuchumi wa Urusi watakua wamepima mambo na kuona kua Kuna umuhimu wa Urusi kuwa na yuan ya kutosha.
Hawa wenzangu na mie Pro USA hawawezi kujua mambo ya ndani ya Urusi au hata tuseme Pakistani.
Ila angefanya hivyo USA wangekuja na Kila sifa hapa.
Humu jukwaani Kuna mtu alileta thread inayosema hivyohivyo kuhusu Israel.
Kua Israel imeweka akiba kubwa ya yuan.
Aisee watu walosifu hatari.
Ni akili ndogo TU kufaham kuwa pengine Russia ilinusa juu ya vikwazo vya fedha yake pengine walijipanga kutumia fedha ya china kufanya biashara na china.
Msemo wetu wa kiswahili udumu,
"Siri ya mtungi aijuaye kata"
Majasusi wa kiuchumi wa Russia wanajua wanachokitaka kwa yuan.
Tomato