Urusi yatangaza kuharibiwa kwa makombora ya Marekani nchini Ukraine

CNN baada ya hiyo taarifa jana wamekwenda mpaka front kuona mtambo ya iko salama ni propaganda za Urusi cheki video hapo chini hapa ndio mtajua nani anapiga propaganda kwenye hii vitaa

Wanaoiamini CNN wakapimwe akili. Hii channel (na washirika wao wengine) huwa inasema ukweli pale tu inaporiti mafanikio ya Russia, pale inapogundua hamna jinsi.
 
CNN baada ya hiyo taarifa jana wamekwenda mpaka front kuona mtambo ya iko salama ni propaganda za Urusi cheki video hapo chini hapa ndio mtajua nani anapiga propaganda kwenye hii vitaa

Kwani mtambo ulitengenezwa mmoja tu?,
 
Back
Top Bottom