DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Vita Ni Vita boss,Raia watangaze kutotoka hapo ukraine.
Haiwezekani uwe na huruma na watu lakini usiwe na huruma na makazi ya watu hao.
Vita haina macho mkuu.
Ndo tunaswa tuombe Sana ww3 isije lipuka maana hata sisimizi wataangamia kwa ugomvi wetu wanadamu[emoji4]
Kama ulimsikia vizur Putin,
Lengo kuondolea kabisa uwezo wa kijeshi Ukraine
Na ktk Hilo Lazima miundombinu muhimu yote ifyekwe, yakiwemo majengo.
Hapa Cha kuwashaur wanajesh wa ukraine, wasije wakajichanganya kuyatumia majengo ya raia Kama cover.
Putin atayafyeka yote, tutazoa vifusi tu