Vita Ni Vita boss,Raia watangaze kutotoka hapo ukraine.
Haiwezekani uwe na huruma na watu lakini usiwe na huruma na makazi ya watu hao.
Nyie ndio mlimpa kichwa Putin akajua kuvamia Ukraine ni mteremko kumbe ni limlima la hatari.Nyie ndo mnamponza mnamjaza kichwa maji Zelensky [emoji4]
Angekuwa mjanja asingekubali raia waondoke maana hapo hakutakuwa tena na haki za binadamu.ni mwendo wa mabomu kwenda mbele
Bado hujamuelewa putin.ni hivi anajua ana maadui wa 3,US ,NATO na Ukraine ,anayepigana naye face to face ninukraine lkn ,tayari US na NATO wameanza nao kumpiga kiuchumi kwa ku impose vikwazo vya mafuta yake,Sasa ili asiingia economic crisis pakubwa anatakiwa aimalize hii Vita ndani ya mwezi au si zaidi ya mwezi mmoja ,thus why ameona raia watoke halafu iwe rahisi ku endup the game,na wakitoka kweli raia Basi hata siku 5 hazipiti mchezo unaisha. kupigana Vita ukimsaka adui pekee ndo ulenge shabaha na huku unajizuia kutokumdhuru raia ,inahitaji umakini lkn usiwe na haraka ,huoni marekani walitumia miezi kadhaa kuidhibit Afghanistan ,Libya n.k!? Ni kwa sababu ya kikwazo Cha raia.Putin pumzi imekata anataka apate muda wa kufanya mobilization na ujasusi..
Urusi likiwa kama jeshi imara lenye special forces na high precission weapon anashindwaje kuzipiga na raia wakiwepo.... USA kaingia Baghdad raia wakiwepo, kaingia Tripoli raia wakiwepo majumbani kwao...
Shida ya wajamaa ni kushindwa kutumia akili na kuwekeza kwenye miguvu, ameshindwa kuwaconvise waukrain kuigeuka na kuipindua serikali yao kwa kupandikiza mamluki pale Kiev?...
Unasema Putin maji yamemzidi then unasema ngoma mbichi haieleweki. Kwahyo kuna kauli moja umeongea uongo... rekebisha mwenyewe wapi umeongopa?Kuna Game nyingi sana inachezwa on the ground pale, mnamuona mjinga lakini jua western intel yoote iko nyuma yake, inampa hints every step, everyday NATO wana surveillance flight iko na experts wa members woote wako hewan day and night kutoa intel, kuna mataifa ya western wao kama wao wanatoa intel, lakin naona maji yanamzidi putin naona leo kapigwa ban kuuza crud oil, gas& coal sidhan kama alitegemea hili, western wametoa 60M barrel kufidia na kati ya haya US katoa half of it pekee, tukurudi msemo usemao fedha shetan naona venezuela taratib nyimbo za us zimemuingia kakubali kuongeza uzalishaji, russia wenyewe wamekiri kwamba ndege walizopoteza in 13 days hawajawah poteza in the past 30yrs. Kwa kifupi hii ngoma bado mbichi saana haieleweki
Walikuwa wanamuogopa tu, labda yuko vizuri defensiveanataka kukusanya wapiganaji wake kutoka syria na chechniya aongeze nguvu huku akisupply ammunition na supply nyinginezo kwa walio front line... Urusi hana uwezo kivile kama tunavyomuoverate..
Amepewa hela nyingi na NATO, kuna nguvu kubwa pia ya kusaidia raia wa Ukraine.Kule Zelensky anajimwambafai kaua jenerali wa urusi, kipind hiki Cha cease fire
Sasa Ngoja wafatiliaji tukae mkao wa kula tuone jinsi gani ukrane inakwenda kugeuka HISTORICAL SITE kwa magofu yanayoenda kutengenezwa.[emoji4]
Uyu Zelensky anakwenda kuifanya ukraine yake igeuke mavumbi kwa upumbavu wake mwnyw wa kutaka cheap populality Kwny media.
Kiongozi mzuri hawezi kuwatumia wananchi wake kama bullet proof.Angekuwa mjanja asingekubali raia waondoke maana hapo hakutakuwa tena na haki za binadamu.ni mwendo wa mabomu kwenda mbele
Jasusi is well past shelf life- expired product.Jasusi ataendelea kutolewa kamasi na Comedian
Nchi inalindwa na jeshi.Vita Ni Vita boss,
Vita haina macho mkuu.
Ndo tunaswa tuombe Sana ww3 isije lipuka maana hata sisimizi wataangamia kwa ugomvi wetu wanadamu[emoji4]
Kama ulimsikia vizur Putin,
Lengo kuondolea kabisa uwezo wa kijeshi Ukraine
Na ktk Hilo Lazima miundombinu muhimu yote ifyekwe, yakiwemo majengo.
Hapa Cha kuwashaur wanajesh wa ukraine, wasije wakajichanganya kuyatumia majengo ya raia Kama cover.
Putin atayafyeka yote, tutazoa vifusi tu