😥Watu wanateketeaHapo anazoom movement zote kisha baada ya sikukuu anakaanga maeneo aliyoona kuna harakati za kijeshi
Ni utaratibu wa kiasili kwamba mwenye kisu kikali ndio atakata mapande mazuri makubwa😥Watu wanateketea
Kwakweli Wenye nguvu ndo wanadumu Japo mara nyingine wanapata miisho kama ya akina HitlerNi utaratibu wa kiasili kwamba mwenye kisu kikali ndio atakata mapande mazuri makubwa
Walielezwa na urusi, Ukraine ichague mezani ya mazungumzo au bunduki ndio zitoe maamuzi.Putin hana nia ya kumaliza hii vita kwa mazungumzo, bado anaamini ushindi wa kijeshi utapatikana.
Trump anajazwa ujinga tu na Kremlin.
Kiranga anasema kila siku hakuna hicho kitu.Sasa huu ndiyo unafiki wenyewe.
Kwa hiyo kwa fimra za Putin, Mungu anaruhusu mauaji siku nyingine isipokuwa pasaka tu?
Kama anataka toba, alistahili kusema anasitisha moja kwa moja.
Hayo ni ya kwenu, kikubwa jamaa anafataga makubaliano, wamagharibi wenyewe waliambiwa wasisogee zaidi wakakaidi jamaa akafanya kweli,,,,,,labda kungekua hakuna makubaliano mrusi angelaumiwa ila wamagharibi walijua kabisa wanavunja makubaliano wakajiona wababe sahivi wamechezea kichapo wanataka kuleta sababu nyingineAnatamani kuirudisha SSR hivyo hataishia hapo tu akiimaliza Ukraine Pana uwezekano akahamia nchi nyingine iliyokuwa sehemu ya usivieti
Mrusi biashara zake haziendi vzr kawekewa vikwazo hawanunui bidhaa zake anatamani kupatana na wamagharibi kuliko unavyofahamu ndo maama hajawafukuza mabalozi wa magharibi Bado wapo Moscow na wakwake hawajafukuzwa wakitarajia siku moja kuyajengaHayo ni ya kwenu, kikubwa jamaa anafataga makubaliano, wamagharibi wenyewe waliambiwa wasisogee zaidi wakakaidi jamaa akafanya kweli,,,,,,labda kungekua hakuna makubaliano mrusi angelaumiwa ila wamagharibi walijua kabisa wanavunja makubaliano wakajiona wababe sahivi wamechezea kichapo wanataka kuleta sababu nyingine
Uzuri siku hizi habari hazitoki CCN na BBC tu anaepata shida na kutapatapa anajulikana ,vikwazo havijasaidia kitu , walioweka vikwazo ndo wana hali mbaya kuliko waliowekewa na vita wanaenda kushinda na Ukraine wameimega na wamagharibi hawana la kufanyaMrusi biashara zake haziendi vzr kawekewa vikwazo hawanunui bidhaa zake anatamani kupatana na wamagharibi kuliko unavyofahamu ndo maama hajawafukuza mabalozi wa magharibi Bado wapo Moscow na wakwake hawajafukuzwa wakitarajia siku moja kuyajenga
Warusi na wamagharibi wanaelewana kwa vilemba,warusi si waarabu
Unaweza kutoa ushahidi wa kitakwimu kabla na baada ya baada ya vikwazo nani kaathilika zaidi maana naona unaimba taarabu tuUzuri siku hizi habari hazitoki CCN na BBC tu anaepata shida na kutapatapa anajulikana ,vikwazo havijasaidia kitu , walioweka vikwazo ndo wana hali mbaya kuliko waliowekewa na vita wanaenda kushinda na Ukraine wameimega na wamagharibi hawana la kufa
MKuu hivi trump ahadi zake za vita si ameshafeli au bado? Reference ni ahafi zake kipindi cha kampeniTrump anataka apeleke focus yake Israel hii Ukraine anaona haimhusu hii ni vita ya Biden sio yake ndo maana amesema kama jamaa hawatakubaliana kuachana na vita ataendelea na mipango yake mengine huko watajuana wenyewe anaona wanampotezea muda tu wakati yeye ana plan nyingine
Haya na wewe leta ushahidi wako.....Mrusi na Mchina ni madon wa madini sio kama hao wamagharibi wanaongoja kuzinyonya nchi masikini ili watusueUnaweza kutoa ushahidi wa kitakwimu kabla na baada ya baada ya vikwazo nani kaathilika zaidi maana naona unaimba taarabu tu
Hao wanaelewana Sema propaganda zinakuchanganya
Soko kubwa na lenye faida kwa mrusi na mchina ni magharibi si uarabuni au Africa ndg
Trump lengo lake ni kwenda kuisaidia Israel,,,jamaa hawana hela yakupigana vita 2 kwa wakati m1 na zote watoe sapot sawa, Biden alifocus zaidi na Ukraine kuliko Israel, Trump alitaka amalize vita haraka Ukraine ili akoleze moto upande mwingine sio kwamba anampango wa kumaliza vita zote kabisaMKuu hivi trump ahadi zake za vita si ameshafeli au bado? Reference ni ahafi zake kipindi cha kampeni
Kwa hiyo ahadi zake ni kama za gwajima kupeleka wananchi wa kawe birmigham🤣Trump lengo lake ni kwenda kuisaidia Israel,,,jamaa hawana hela yakupigana vita 2 kwa wakati m1 na zote watoe sapot sawa, Biden alifocus zaidi na Ukraine kuliko Israel, Trump alitaka amalize vita haraka Ukraine ili akoleze moto upande mwingine sio kwamba anampango wa kumaliza vita zote kabisa
Mtto wa mjini yule, huoni hata vikwazo vyake kwa mchina alijua atapeta tu baadae akashtuka anajipiga pin mwenyewe, ikabidi arekebishe tena akaweka vikwazo ila akachagua ni kwa bidhaa zipi,,,,,,jamaa bado wanafikiri dunia ya sasa ni ya enzi hizo waliyotamba mababu zao na wengine waliowatanguliaKwa hiyo ahadi zake ni kama za gwajima kupeleka wananchi wa kawe birmigham🤣
Urusi imeathirika kwa njia mbalimbali kutokana na vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na nchi za Magharibi baada ya kuivamia Ukraine mwaka 2022. Hapa chini ni baadhi ya athari kuu:Haya na wewe leta ushahidi wako.....Mrusi na Mchina ni madon wa madini sio kama hao wamagharibi wanaongoja kuzinyonya nchi masikini ili watusueView attachment 3310405View attachment 3310406View attachment 3310407View attachment 3310408
Nipe source kama nilizoleta hizo insha hata nikimpa mtoto wa la 7D anaweza kuandika........leta taarifa toka source za kueleweka kama hao watu wenu wa IMF ,worldbank au hata hao wenzenu wakina CNN na BBC maana hili jambo lipo wazi hata wao wanalijua,,,insha zako peleka matombo hukoUrusi imeathirika kwa njia mbalimbali kutokana na vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na nchi za Magharibi baada ya kuivamia Ukraine mwaka 2022. Hapa chini ni baadhi ya athari kuu:
1. Kuporomoka kwa uchumi
- Uchumi wa Urusi umekua kwa polepole ikilinganishwa na kabla ya vikwazo.
- Benki kuu ya Urusi ililazimika kuongeza viwango vya riba ili kudhibiti mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya ruble.
2. Mfumuko wa bei na upungufu wa bidhaa
- Bidhaa nyingi kutoka Magharibi hazipatikani tena Urusi, kama vile vifaa vya teknolojia (smartphones, kompyuta, nk).
- Mfumuko wa bei uliongezeka kutokana na uhaba wa bidhaa na ongezeko la gharama za uzalishaji.
3. Kutengwa kwa mfumo wa kifedha wa kimataifa
- Benki kadhaa za Urusi zilitengwa kwenye mfumo wa malipo wa kimataifa wa SWIFT, jambo ambalo liliathiri biashara ya kimataifa.
- Akiba ya fedha za kigeni za Urusi katika benki za Magharibi ilizuiwa.
4. Kuwepo kwa ubunifu wa ndani (localization)
- Urusi ililazimika kuanza kutegemea bidhaa na huduma kutoka ndani au kutoka mataifa rafiki kama China, India, Iran, n.k.
- Makampuni ya Urusi yalilazimika kutengeneza au kuagiza mbadala wa teknolojia zilizokuwa zikitoka Magharibi.
5. Kuondoka kwa makampuni ya kimataifa
- Makampuni makubwa kama McDonald's, Apple, na Shell yaliondoka Urusi, na kusababisha upotevu wa ajira na kupungua kwa uwekezaji wa kigeni.
6. Mapato ya mafuta na gesi
- Huku Magharibi ikikwepa mafuta na gesi ya Urusi, nchi hiyo ililazimika kuuza kwa bei ya chini kwa mataifa kama China na India.
- Hii imepunguza mapato yake licha ya kuwa bado ni muuzaji mkubwa wa nishati.
Kwa ujumla:
Ingawa Urusi imejaribu kujikinga dhidi ya vikwazo kwa njia mbalimbali, athari zake zipo wazi—kuanzia kwenye maisha ya kila siku ya raia hadi kwenye uwezo wa serikali kifedha na kiteknolojia. Hata hivyo, bado inaendelea kujihusisha na biashara na baadhi ya mataifa yasiyo sehemu ya vikwazo hivyo.
Asante kwa kuuliza — ni jambo muhimu sana kujua vyanzo vya taarifa ili kuhakikisha uhakika na uaminifu wa takwimu. Taarifa nilizokupa zinatokana na mchanganyiko wa vyanzo vya kuaminika vya kimataifa, ambavyo ni pamoja na:Nipe source kama nilizoleta hizo insha hata nikimpa mtoto wa la 7D anaweza kuandika........leta taarifa toka source za kueleweka kama hao watu wenu wa IMF ,worldbank au hata hao wenzenu wakina CNN na BBC maana hili jambo lipo wazi hata wao wanalijua,,,insha zako peleka matombo huko