Urusi yatishia kuzuia usambazaji wa gesi kwa mataifa mengine ya Ulaya

Waliona kitisho kivipi wakati Marekani alishatoa details zote kuwa Russia ishajiandaa kushambulia Ukraine na hata viongozi wa Russia walipoulizwa walipinga hadharani,sasa kilichotokea? Ina maana kuwa walishajua plans zote za Russia na matokeo yake yatakuwaje
 
Kama Umewahi kufika Poland au hizo nchi za Western na Eastern Europe ogopa sana baridi ya kule Gas inatumika muda wote iwe summer au winter sema summer hailiki sana ila inatumika sana....Jameni kuna baridi hiyo Dunia ya huko asikuambie mtu...Wewe Mtz ukiambiwa Summer beba makoti mana utakoma ukijipeleka kienyeji...
Mwisho wa Yote Urusi huwezi kuitenga hilo halina namna...Ndio mana hata India na China wamegoma huo ujinga wa Vikwazo..Tunachotaka sisi sio Kingine ni kwamba Dunia iwe na Balance of Power sio magenge ya Western yakiamua Kumuua yeyote hapa Dunian kama yalivyofanya Libya..Yemen..Iraq na kwinigeneko basi hamna wa kusema jambo..New world Order ni mhimu ili heshima iwepo...

HUWEZI kukwepa Gas ndio mana wanalia sana hata wakinunua kwa bei juu nao watauza kwa bei juu nani anataka vitu aghali? HIVYO wananchi wao wataumia zaidi na uchumi wao utayumba sana pia...
 
Mkuu, wakomunisti kwa porojo ni balaa
 
Kauli za Kiume hizo,Urusi funga Bomba la Gesi kwa Wadwanzi hao wa West.
 
Na kitu kingine,anawakatia gesi wakati wanaelekea kipindi cha Summer muda mfupi tu ujao,mpaka Summer iishe watakuwa walishaweka sawa jinsi ya upatikanaji wa gesi.Russia akae na gesi yake,hakuna anayeihitaji kwa sasa
Kwani mkuu matumizi ya gesi ni kwa ajili ya baridi tu?
Mimi nilikuwa sijui hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…