Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
NATO inaendelea kuwepo kwa sabab us anataka iwepo na us ndio mchangiaj mkubwa wa kibajet na ndio maana mara zote ajenda za us ndio ajenda za NATO,USA ndiye dominant hapo NATO, ndugu!
Ujeruman alikuwa anajirudisha nyuma ktk kadhia hii ya ukraine lkn akalazimika kuonyesha ushirikiano baada ya kiongoz wake kupata mualiko wa white house na naamin injinia wa mchezo wote huu yupo us.
Ingawaje mambo yanaenda ktk njia ngumu baada ya urusi nae kutumia mbinu za kibabe hadi kupelekea ukraine kuomba kikao na urus na urusi kuuchuna lkn mwisho wa siku watakaa mezan na kupeana mashart na hatimae hali kurud ktk hali ya kawaida.