Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

We jamaa ndo hata exposure sijui kama unayo ,!! Tena huko kwenye madawa ndo kuna unyama wa copyrights hadi basi those companies are Ruth less, Arv zenye kuzipata sisi waafrica ilikuwa ishu, kama si bill gates tungeteketea kwa kasi ya ajabu ,

Mamlaka zoote unazozijua wewe hawana ubavu wa kuzuia au kulazimisha formula za wenye nazo ziwe disclosed haipo kwanza kuna products unaambiwa kabisa wewe hazikuhusu na hazikutengenezwa kwa ajili yako .
wewe ndio hakuna unacho elewa zaidi ya kumeza story kama zilivyo... jiulize kwanini mataifa kama china ina sheria za kulazimisha makampuni kujenga viwanda na kuweka hiyo tech katika ardhi ya mchina na sio kupeleka bidhaa ambazotayari zime tengenezwa...

chunguza kabla, tafakari kabla...

PUMA na ADIDDAS ni ndugu wa pamoja walianza pamoja (brothers) lakini leo ni kampuni zenye mizani tofaui... na historia yao ni wote walikuwa addidas...

kwanini haikuwa puma ktk mizani sawa na addidas?

ni kila mtu ana tengeneza njia yake kwa ubora wake...
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Mario Draghi Italian premier "I asked Putin for a ceasefire Putin replied it's not the time"[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Kama kuna ajira zimepotea,kodi kiasi fulani imepotea hio ni athari hata ukiweka siasa kujaribu kuonesha hamna madhara unajidanganya tu.
Russia wana propaganda za ki uvccm sana
 
Ila Wazungu Ni wajinga Sana,yaani walidhani Taifa kubwa Kama Russia litatetereka kwa sababu ya Cocacola,Fanta 😄😄, hata Tz tu leo wakifunga hivyo viwanda hakuna mwananchi atahangaika kusema eti serikali iondoke madarakani kwa Sababu ya Coca na Stone Tangawizi 😄😄

Sanasana bidhaa zikikosekana,Kodi itapungua kiaina lkn pia serikali ita-save pesa nyingi inazozitumia kwenda kununulia madawa ya ugonjwa wa kisukari.
Watu wana poteza ajira serikali mapato
 
nenda kawaulize tbs, tmda na sheria za nchi mbalimbali... ISO etc... usipigizane kelele la mimi...

nchi zina sheria zake upeleki tu bidhaa kisa una taka usiibiwe, zibiti hilo kisheria sio ufiche ili uhatarishe uhai wa wananchi wake...

china russia etc wakubali upuuzi na kuhatarisha watumiaji ambao ni wananchi wao?

usalama wa watumiaji kwanza...

hizo stori zako za kale zitoe hapa

hata maji ya kilimanjaro na uhai yana tofautiana ladha na yote ni colorless...
comment hii nashindwa hata kucheka [emoji2960][emoji2960]
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Mario Draghi Italian premier "I asked Putin for a ceasefire Putin replied it's not the time"[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Hata uweke majambia mwanzo mwisho wa comment,haisaidii.Leo tuko mwezi wa nne,ngoma.bado mbichi kabisa.Supapawa jasho la kwapa linamvuja
 
Back
Top Bottom