Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

wewe ndio hakuna unacho elewa zaidi ya kumeza story kama zilivyo... jiulize kwanini mataifa kama china ina sheria za kulazimisha makampuni kujenga viwanda na kuweka hiyo tech katika ardhi ya mchina na sio kupeleka bidhaa ambazotayari zime tengenezwa...

chunguza kabla, tafakari kabla...

PUMA na ADIDDAS ni ndugu wa pamoja walianza pamoja (brothers) lakini leo ni kampuni zenye mizani tofaui... na historia yao ni wote walikuwa addidas...

kwanini haikuwa puma ktk mizani sawa na addidas?

ni kila mtu ana tengeneza njia yake kwa ubora wake...
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Mario Draghi Italian premier "I asked Putin for a ceasefire Putin replied it's not the time"[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Kama kuna ajira zimepotea,kodi kiasi fulani imepotea hio ni athari hata ukiweka siasa kujaribu kuonesha hamna madhara unajidanganya tu.
Russia wana propaganda za ki uvccm sana
 
Watu wana poteza ajira serikali mapato
 
comment hii nashindwa hata kucheka [emoji2960][emoji2960]
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Mario Draghi Italian premier "I asked Putin for a ceasefire Putin replied it's not the time"[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Hata uweke majambia mwanzo mwisho wa comment,haisaidii.Leo tuko mwezi wa nne,ngoma.bado mbichi kabisa.Supapawa jasho la kwapa linamvuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…