DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kampuni ya kusambaza gesi ya urusi ya Gazprom imezikatia huduma nchi za denmark na German baada ya kampuni yao ya SHELL ENERGY EUROPE LIMITED yenye dhamana ya kuwasambazia gesi nchi za Denmark na German kushindwa kufanya malipo kwa rubble Kama ilivyoelekezwa na rais Vladmir Putin.
Hii inakuja baada ya kufikiwa kwa deadline waliyopewa ya tar 01 June kuwa wamefungua account ya rubble katika benki kuu ya Russia na malipo yote ya gesi yafanyike kwa cash ya pesa ya ruble.
Chanzo: Kyiv independent