Urusi yazikatia huduma za gesi Denmark na Germany

Urusi yazikatia huduma za gesi Denmark na Germany

Hakuna kubembelezana,Kauli za wanaume hazibadiliki,Watafute Mbadala maana hakuna jinsi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja Raia wao waanze kuandamana watajua hawajui
Winter season imeshafika sasa
 
Warusi wa JF mbona mnatuchanganya!! Si mlisema ujerumani na nchi zote za ulaya kwa sasa zinalipa kwa ruble!
 
Back
Top Bottom