Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Chama hatulitaki ila limetuganda ka donda ndugu khaa!!
 
Watu wa mataifa ya nje wamekuwa na wivu wa mambo yanayotokea Tanzania. Hongera sana JPM huna mshindani Hapa Kazi tu.
 
Are you sure? America stands for its interest full stop.
If it stands for ordinary people it could have stopped mass genocide in Rwanda and Burundi
Wangekuwa na ubinadamu kiasi hicho huyo balozi angehangaika na Libya ambako usalama na amani hakuna. Wameivuruga libya kwa sababu ya tamaa ya mafuta ambayo Gadafi alikuwa amewabana wasiyanyonye. Hakuna mzungu ambaye anampenda mwafrika kwa dhati ni basi tu wangekuwa na uwezo wangetumaliza hta kwa silaha za sumu ili waje watawale afrika yote.
 
Kumbe una mtindio wa ubongo ee... Hizi kejeli zipeleke pale US Embassy kama una guts... Wanawalisha na kuwapunguzia makali ya ukimwi afu mnawabeza... Jichanganyeni muone

Mtindio wa ubongo unao wewe unayejitisha bila sababu
Usiku Ubongo ukibahatika kurudi sawa rudi kumsikiliza muwakilishi wa barrick ndio utajua mlivyo vibaraka
Your browser is not able to display this video.
 
Nunueni ARV kwa cash kama mnavojinasibu kwenye ndege! Dose ya mtu mmoja ni kuanzia 300$ mkiweza hapo hamtakuwa mnapangiwa sio mnaleta hapa nye nye nye mara mabeberu sijui
 
Baada ya uchaguzi huu,tegemea sheria nyingi kandamiz kwa wananchi kufutwa kupitia shinikizo la jumuiya ya kimataifa ikiwemo ubadilishwaji wa tume ya uchaguzi.Bila Support ya Marekani Tanzania haiwezi survive
Hizo zama za utegemezi kwa JPM hazipo tena, ndo maana kwa mara ya gharama za uchaguzi hatujaomba mtu! Sasa hao nyangau wanajisikia vibaya ndo maana wanatoa vitamko uchwara!
 
Nyie hamjawahi kuwa na akili... Uzwazwa umewajaa mkikaa nao mbona hamuwaropokei ila mnawaita wadau wa maendeleo?
Wadau wa maendeleo ni pale kunapokua na usawa lakini kwa mkataba kama ule wa acacia mliokua mnalia kuwatetea ni utapeli mkubwa na wezi. Hata was wanajua nyie ni mazwazwa na John Pombe Magufuli ni kichwaaa
 
Higher wrong expectation = Big disappointment (ask Mange Kimambi and she will tell you a tale)

October 28th kura nyingi za NDIO ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
How can you compare a bitch with an anointed one Tundu Antiphas Lissu a survival of 16 bullets???
 
Wadau wa maendeleo ni pale kunapokua na usawa lakini kwa mkataba kama ule wa acacia mliokua mnalia kuwatetea ni utapeli mkubwa na wezi
Mbona unadivert? Hapa inajadiliwa issue ya balozi wa US na nimekuambatanishia kazi zao hapa nchini... Hao accacia wameingiaje tena humu?
 
Huyu Daktari jasusi angeandika kwa kisukuma kidogo angeeleweka.Tarehe 28 mimi na ukoo wetu wote tutampigia Magufuli.
 
Thank you for what? For saying what they (US) can't entertain to be done in their country! Nowadays, I am extra careful not to invite Lucifer to start pleaching for heavenly life whilst he knows better devilish life.
“Pleach” if you must!
Or bleach radher!
 
This is where meddling of US comes in !!

All issues, which the US representative has pointed out in way they have been 'manipulated' to look like there is a denial of a level playing field. Unfortunately, no vivid evidence has been presented to back up the representative arguments.

This is not fair illustration of our current electoral process !! I 'urge' the US representative in Tanzania to 'reserve energy' for better understanding of our coming General Election if at all what I have quote were included in his statement.
 
Wewe unawaza kitumwa sana mkuu!! Sisi sasa tunawaza tutoke kwenye makucha ya utumwa mambo leo ndiyo maana mwaka huu tumeamua kuendesha uchaguzi wetu bila kuomba hata senti moja kutoka kwa mabeberu tunatumia pesa zetu wenyewe! Na huyo kibaraka wao Lissu hawezi shinda watz wameshamgundua janja yake! Yeye tarehe 29/10/2020 arudi tu kwa mabeberu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…