residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Mmarekani anakusalimiaAnawachochea wajinga wenzie wanaoabudu amerika na ulaya
Bado sana hatuwezi kujiendesha bila hawa watu/ wahisani/ wafadhili na bahati mbaya wakiwa na msimamo tofauti twawaita mabeberu ingawa ni kweli kuwa kutofautiana mara nyingi huleta changamoto ambazo husababisha maendeleo.Nani anaililia
Are you sure? America stands for its interest full stop.America stands for the ordinary people. That's a real reason to why the people with authority tend to bad-mouth about what America is standing for.
Acha mbwembwe weweThis is just a piece of an incosequential writing.
Kama issue ni hiyo $7.5B au $540M hatukuwashikia bunduki watupe ni kiherehere chao tu.
Nchi haipokea hisani kutoka kwao pekee lakini mbona wengine wametuliza mishono!
Our sovereignty comes first,nchi hii pia imetoa mchango wake mkubwa tu huko Kusini mwa Africa lakini hatujawahi kupeleka pua yetu huko.
Uchaguzi uwe huru au usiwe it's none of his fvcking business.
Mr Ambassador,uhuru wetu hatubadilishani na $!
Kwa ndoa hizi unategemea kuachwa?
Me labda nife ila kura yangu TL anayoWatawala wetu wanajiona wao wana mamlaka na mioyo yetu. Haiwezekani kbs kinachofanyika tunaonekana wote mbuzi ww subiri tuuumie. Maana ukimsikiliza JPM hotuba zake za kampeni utadhani hii nchi ilikuwa chini ya mpinzani. Ukweli kbs kura yangu ni TAL acha liwe
Pamoja na yote Mpigie JPMWewe ndiye yule tanroads mwenye STL 77**.
Kumbe sindano za ile barabara zinawaingia vyema.
Tutakaba kote benaco nchale, ubalozi wa marekani nchale, na hata mkibong'oa nchale!
Mamburula nyie!
Narudia tena unasalimiwa hukoJitambue.
Ijue thamani yako
Tarehe 28/10 weka tick mtu wa kwanzaBado sana hatuwezi kujiendesha bila hawa watu/ wahisani/ wafadhili na bahati mbaya wakiwa na msimamo tofauti twawaita mabeberu ingawa ni kweli kuwa kutofautiana mara nyingi huleta changamoto ambazo husababisha maendeleo.
Umenunuliwa kama nyanya sokoniNarudia tena unasalimiwa huko
😍😍Tarehe 28/10 weka tick mtu wa kwanza
Salam zinaendeleaUmenunuliwa kama nyanya sokoni
Wasiharibu kura zao
Tunawadai vingi sana hawa.Salam zinaendeleaView attachment 1608758