Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Mi nimewaza sana hizo kura ziliiingizwa mda gani haswa? Nikajijibu kuwa mda wa kula kuna walinzi walibaki kulinda kura and baadhi ya vituo wakala alikuwa mmoja mmoja tu je akitoka kwenda kujisaidia si ndo mda ambao unatumika kuongeza kura feki
 
Hii stage ya pili kujiliwaza na TWEETS za MABEBERU baada ya kumtia ujinga yule mgombea Mr Much know.

Ukitaka kujua WATANZANIA ni wanafiki muulize Mange.

Nawaambia wamarekani black lives matter.
 
Hivi nawewe kweli siasa unaijua?Yale maigizo ya Trump unayaamini kabisa?

USA hakuna Rais aliyewahikukataa/atakayekataa matokeo ukiachilia mbali vitimbi vya Trump.

This is a guy who defied any conventional wisdom. Unawezaje kutumia history kufikiria anachoweza kufanya?
 
Internet imezimwa kwani kuna taharuki yoyote nchini?
Serikali inayopendwa na walio wengi kwanini iwafanyie haya wananchi wake?

Unajua kadhia waipatayo wananchi kupitia hilo lakuwazimia internet?

Kuna biashara zinategemea mtandao wa internet zimekwama.

Kuna watu wanahitaji mawasiliano na ndugu zao waliopo nje ya nchi kwa msaada na shida mbalimbali hawawasiliani kwasasa.

Mkuu ukipenda kitu fulani usizidishe kipimo ili akili ibaki na nafasi yakuhoji na udhaifu.

Let’s be objective. Internet ikizimwa bado utakuwa na uwezo wa kurusha posts unazorusha hapa?

Hata kama ingezimwa, tambua kwamba wenye dhamana ya national security lazima wameona kuna serious security concern. Obviously, when it comes to national security they have access to information that isn’t available to any of us! No one takes such a decision lightly.
 
Wewe mwenyewe hapo ulipo najua unatumia vpn halafu unajikakamua tu.

Unless kama haupo Tz.
 
This is a guy who defied any conventional wisdom. Unawezaje kutumia history kufikiria anachoweza kufanya?
Wewe unayetumia uhalisia umejuaje kwamba atafanya alichokifikiria kukifanya?

Maana mikwara yake na vitisho ni vingi waweza kudhani dakika inayofuata kuna vita but hola!
 
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.

View attachment 1615653View attachment 1615654
Nobody is above the law....
Let anybody found to be violating existing laws and regulations, or found to foment public unrest or chaos, be accountable to his/her deeds, irrespective of his/ her social status or political affiliation.

The Peoples voice, as demonstrated in this year's civic elections Must be respected, even by our allies and foes overseas, for they know for sure who is really capable and have a pragmatic vision of a brighter and better future. TANZANIANS HAVE SPOKEN ONCE AND FOR ALL!!
 
Hii amri wametekeleza bila hata kuhoji kwanini beberu awaamuru!
 
Hiv taasisi hii ya aliekuwa baba jesika haina washauri na kwann hawakuishauri vyema? Sasa tusubili yajayo yanafurahisha puzi kabisaa
 
Back
Top Bottom