Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela
Akizungumza Ikulu ya White House siku ya Jumatano, Rais Donald Trump alisema meli hiyo ni kubwa kuliko zote zilizowahi kukamatwa.
Video iliyotolewa na serikali ya Marekani ilionyesha askari wenye silaha wakipanda meli hiyo, ambapo Mwanasheria Mkuu Pam Bondi alisema ilitumika kusafirisha mafuta yaliyowekewa vikwazo kutoka Venezuela na Iran.
Serikali ya Caracas ililaani hatua hiyo mara moja, ikiitaja kama kitendo cha uharamia wa kimataifa. Awali, Rais Nicolás Maduro alikuwa amesema Venezuela haitawahi kuwa koloni la mafuta
Utawala wa Trump unaishutumu Venezuela kwa kusafirisha dawa za kulevya kwenda Marekani na umeongeza juhudi zake za kumtenga Rais Maduro katika miezi ya hivi karibuni
=================
US forces have seized an oil tanker off the coast of Venezuela, marking a sharp escalation in Washington's pressure campaign against Nicolás Maduro's government.
Speaking at the White House on Wednesday, President Donald Trump said the tanker was "the largest one ever seized".
Footage released by the US government showed armed soldiers boarding the vessel, which Attorney General Pam Bondi said was used to transport sanctioned oil from Venezuela and Iran.
Caracas swiftly denounced the action, calling it an act of "international piracy". Earlier, President Nicolás Maduro declared that Venezuela would never become an "oil colony".
The Trump administration accuses Venezuela of funnelling narcotics into the US and has intensified its efforts to isolate President Maduro in recent months.
Source: BBC