Wewe unatakaje?? KInacho kusibu ni nini hasa, Israel kupewa fudisho la mwaka baadhi yenu mnaona vigumu kukubali ukweli huo yaani kwenu Israel ni Alpha na Omega ie mfupa uliyo shinda fisi!!
The truth of the matter you are all DEAD wrong, Iran imekwisha onyesha kwamba hiyo so kweli, Israel inapigika kisayansi sana.
Jana nilikuwa nasoma gazeti LA huko Israeli, uwezi amini madhara na hasara zilizo sababishwa na Roketi za Iran nchini Israel, lakini viongozi WA Israel na western media hawataki hilo lijulikane nadhani wamekwisha piga marufuku vyombo vya habari vya Israel na mataifa ya nje kuzungumzia chochote kuhusu madhara yaliyo sababishwa na roketi za Iran nchini Israel, sasa kama Israel inajiamini kwa nini wanataka ku-muzzle media za nje na ndani kusema ukweli???