Kwani yeye ni Nungunungu? Mbona Hassan Nasrallah na Ismail Hanniyeh waliuwawa ki rahisi wakati hao ndiyo walikuwa na ulinzi mkali????Siyo rahisi kumuua ayatollah, analindwa kama mboni ya jicho na huwa hajitokezi hadharani
Wewe unatakaje?? KInacho kusibu ni nini hasa, Israel kupewa fudisho la mwaka baadhi yenu mnaona vigumu kukubali ukweli huo yaani kwenu Israel ni Alpha na Omega ie mfupa uliyo shinda fisi!!So what?
Kung'ang'ania sana ujulikane umekuwa mshindi ni propaganda za mtu aliyeshindwa.
Iran anakomaa sana ionekane ameshinda, ili nini?
Tuseme sasa kwamba, Iran amewapiga vita na kuwashinda Marekani na Israel kwa pamoja.
Ndio imekuwa nini sasa!
Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua ninyi wenyewe tu!! Mara unasema wayahudi wamepiga habari hizo kuchapishwa mara unasema umesoma Gazeti Lao limesema hayo!!! Sasa sisi tuwaeleweje au tushike lipi!!Wewe unatakaje?? KInacho kusibu ni nini hasa, Israel kupewa fudisho la mwaka baadhi yenu mnaona vigumu kukubali ukweli huo yaani kwenu Israel ni Alpha na Omega ie mfupa uliyo shinda fisi!!
The truth of the matter you are all DEAD wrong, Iran imekwisha onyesha kwamba hiyo so kweli, Israel inapigika kisayansi sana.
Jana nilikuwa nasoma gazeti LA huko Israeli, uwezi amini madhara na hasara zilizo sababishwa na Roketi za Iran nchini Israel, lakini viongozi WA Israel na western media hawataki hilo lijulikane nadhani wamekwisha piga marufuku vyombo vya habari vya Israel na mataifa ya nje kuzungumzia chochote kuhusu madhara yaliyo sababishwa na roketi za Iran nchini Israel, sasa kama Israel inajiamini kwa nini wanataka ku-muzzle media za nje na ndani kusema ukweli???
Hao walikuwa wachache sana kulinganisha na ayatollah, huyu ni kibosile wa nchi unamfananisha na hao magaidi?Kwani yeye ni Nungunungu? Mbona Hassan Nasrallah na Ismail Hanniyeh waliuwawa ki rahisi wakati hao ndiyo walikuwa na ulinzi mkali????
Itabidi tu kazi irudiwe kwani kurudia sio shida na Iran ndio iko kwenye nafasi ya kupoteza zaidi.Makamanda are easily replaceable, scientists have already been trained in thousands
Mh! Mimi najua vita havitabiriki yeyote anaweza kupigwa.Wewe unatakaje?? KInacho kusibu ni nini hasa, Israel kupewa fudisho la mwaka baadhi yenu mnaona vigumu kukubali ukweli huo yaani kwenu Israel ni Alpha na Omega ie mfupa uliyo shinda fisi!!