FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #21
Lakini hata hicho kiwango kidogo cha mapenzi kinaashiria kuwa upande wake tofauti na upande wa pili.Hamna MKUU hv hujawahi kusikia mtu anampenda mtu kwasababu ?!...sio kama anampenda kiuhalisia hapana ...
Kinafiq yaani unampenda mtu kimaneno wakati humpendi hv huu unakua upendo ?!...Lakini hata hicho kiwango kidogo cha mapenzi kinaashiria kuwa upande wake tofauti na upande wa pili.
Joe lazima atashinda urais mwaka huu
Kama Magufuli eehTrump atashinda tu
Utakuja kuikumbuka [emoji115]comment yangu
Ova
| Candidates | Electoral votes | Vote % | Vote count | |
|---|---|---|---|---|
Joe Biden Democratic Party | 264 | 50.3% | 71,481,987 | |
Donald Trump Republican Party | 214 | 48% | 68,238,215 | |
Jo Jorgensen Libertarian Party | 0 | 1.1% | 1,624,087 | |
Howie Hawkins Green Party | 0 | 0.2% | 324,018 | |
Other candidates | 0 | 0.3% | 358,159 |