Bado hujajibu hoja unaluka luka tu,ndo maana nasema tena naludia bado nina shaka na "upeo wako" fyi kesho nikiwa oficn wakati wa break ya chai nitakuwekea upupu ulio changia kule jukwaa la siasa ili uonekane na we umechangia kumbe umechangia mi pumba,pia nitareply hoja yako hii then i wil b waiting ur rejoinder if any
Bado hujajibu hoja,ila pia kuna watu nawaheshim sana humu ndani Jf wame ni PM wameniambia najisumbua bure kubishana na kichwa cha mwenda wazim,wanakujua vizuri hoja zako ni dhaifu na za kitoto na mi nimefuatilia nimeziona nyingi nonses za kiswahili swahili udini mwingi,nakuomba 2kutane kule kwny majukwaa mengine hapa 2nawachosha tu bure vijana wanaofungua na kudhani ni masuala ya kazi kumbe malumbano,"hili ni jukwaa la kazi" kesho nitakujibu kule kwenye Thread ya "Kama" stay tuned
Umejitahidi sana, na umefanya vizuri katika spelling, kumbe nafaa kuwa teacher wako, japo wa spelling!
Kama umejifunza Kiarabu na Kiswahili tu toka udogo wako kwa nini usiwe mwalimu wangu by the way nafurai nimekushinda kwa hoja mana hukujibu,nenda kwenye ile thread ya "Kama Cdm... Basi Ccm...?" kajibu hoja kule hapa ni jukwaa la nafasi za kazi