FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Bado hujajibu hoja unaluka luka tu,ndo maana nasema tena naludia bado nina shaka na "upeo wako" fyi kesho nikiwa oficn wakati wa break ya chai nitakuwekea upupu ulio changia kule jukwaa la siasa ili uonekane na we umechangia kumbe umechangia mi pumba,pia nitareply hoja yako hii then i wil b waiting ur rejoinder if any
unaluka = unaruka
luka = ruka
Jitahidi sana tutafika tu.