Ili kukuthibitishia kwamba, kama ni mimi, hata ningekuwa shangazi yako nisingekupa kazi, ntakuonesha makosa yako yasiyopunguwa 7 kwenye (kipande cha A tu) bila kuingia ndani zaidi kwenye hii post yako:
Sahihi ingekuwa hivi:
1) Is this Mr.......?
2) Did you apply (sio applied)
3) for the post of.... (sio job)
4) You are (sio your)
5) we advise you to be (sio we advise to)
6) 1 hr (sio 1 hrs)
7) I appreciate your consideration (sio for your consideration).
Upo hapo ulipo?
Faizafoxy (do u know the meaning of your name madam? hilo mosi)....ungekuwa Tanga...mmh sijui?
Nije kwenye kukujibu hoja zako dhaifu:
1. Siku-edit kwa makusudi kabisa, na kama ungekuwa makini ukapitia post zangu tangu mwanzo ungeelewa vyema.
2. Unakurupuka na nina hakina hujafahamu hapa nini kinazungumziwa, wewe umekuja na hoja zako zisizo na tija.
3. As far as i know, mtu na namna yako huwezi kuwa na hata kitu kinachoitwa Partnership achilia mbali kampuni ya kuweza kuajiri, otherwise uuthibitishie umma hapa. Sana sana una vijana wakokta mikokoteni huko then unakuja hapa na kutamba unaajiri. Na katika hili, i can assure you huna uwezo wa kuniajiri sahau huo msaada unaodai kunipatia.
4. Kwa taarifa tu, nilishafanyakazi tangu nilipo graduate, nimeacha kazi kwa ku-resign coz nilihitaji kwenda na plan zangu, na soon baada ya kumaliza shule nimekwenda nje kwa ajira, na nimeacha kazi, ukitaka ushahidi njoo nikupatie.
My Take: Shida yako ni kwamba husomi na kuelewa, umetanguliza majibu bila kutafakari issue hasa.....na hapa kwa taarifa yako, si complain mimi kukosa ajira Us Embassy, napingana na utaratibu mzima ambao unamfanya mtu apoteze resources zingine kama pesa, time na commitments zingine.
Soma Uelewe:
1.Naposema info zili-leak, i meant kupata majibu yote ya interview na interviewees na kugundua i was ranked number 1, lakini kwa sababu binafsi za Mwajiri alibadirisha maamuzi
2. Nilihusika kwenye mchakato wa nafasi moja ya kazi mahali nilipokuwa nafanya kazi before, a guy mwenye sifa zote (CPA, Postgraduate Diploma na Experience ya kazi ya 4+ alinyimwa kazi, akapewa kijana mwenye uzoefu wa 8 months just a graduate no CPA no any other qualifications, kisa Director wanted him coz wanatoka eneo moja)
Get my point?
Conclusion: Sitakuwa na muda wa kujibu hoja zako dhaifu.....i believe wapo vijana smart kabisa hapa JF will help you to understand.