Uchaguzi 2020 US Foreign Affaires: We call on Tanzanian security forces to immediately cease violence

Uchaguzi 2020 US Foreign Affaires: We call on Tanzanian security forces to immediately cease violence

Jiwe kaiharibu kabisa nembo ya drmokrasia ya nchi yetu.

Nyie mnaopiga kelele kusifia huu upuuzi mnajikakamua tu lakini roho zenu zinawauma.
 
Jiwe kaiharibu kabisa nembo ya drmokrasia ya nchi yetu.

Nyie mnaopiga kelele kusifia huu upuuzi mnajikakamua tu lakini roho zenu zinawauma.
Wanasaccos ndiyo wanataka kuharibu demokrasi ya nchi yetu.
 
Chadema nyie kweli poleni sana, hadi mbunge wa US awasemee, mbunge wa kawaida wa US unafikiri ana sauti kweli ya kugeuza hata nukta moja ya matokeo ya uchaguzi au kuzuia chochote? Yaani hana chochote huyo, sheria haimruhusu na hana mamlaka hayo hata nukta, yeye anasema kama nani? Huyo anabweka bweka tu huku akijua hana chochote
 
Chadema nyie kweli poleni sana, hadi mbunge wa US awasemee, mbunge wa kawaida wa US unafikiri ana sauti kweli ya kugeuza hata nukta moja ya matokeo ya uchaguzi au kuzuia chochote? Yaani hana chochote huyo, sheria hamruhusu na hana mamlaka hayo hata nukta, yeye anasema kama nani? Huyo anabweka bweka tu huku akijua hana chochote
Mbunge wa kawaida?

Eliot L. Engel, is the Chairman of the House Committee on Foreign Affairs.
 
Kwa kuwa jumuia ya kimataifa ipo na watanzania katika kupinga udikteta, watanzania tushikamane katika kupinga uchaguzi bandia uliofanyika kwa maandamano ya amani yasiyokoma kuonesha kwa vitendo kutoridhika kwetu kwa uharibifu wa uchaguzi uliotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli wanataka kutusaidia, wamshushie mzigo kwa ma-drone hapo Chamwino kiulaini halafu wapotee tu bila kusema kitu.

Au wapige pembeni yake tu bila kumdhuru halafu wasubiri juma moja hivi kuona atafanya nini.
Dictators never heed to words only Bombs! Mkitaka kutusaidia mbane Kwa mabomu, maneno hatasikia
 
Kama kweli wanataka kutusaidia, wamshushie mzigo kwa ma-drone hapo Chamwino kiulaini halafu wapotee tu bila kusema kitu.
Mkuu wewe huwaga una akili nyingi sana hadi nyingine humwagika na kukosekana pa kuzihifadhi hatimae zinatoa michango ya namna hii.
 
Shibe mbaya sana, tena ukiwa unaishi kwa kunyonya jasho la walalahoi, Utajifanya JEULI, KIBULI, mbele ya binadamu wenzako jaribuni kuwa na utu sisi sote tutapita TANZANIA itabaki
 
Au wapige pembeni yake tu bila kumdhuru halafu wasubiri juma moja hivi kuona atafanya nini.
Mkuu wewe huwaga una akili nyingi sana hadi nyingine humwagika na kukosekana pa kuzihifadhi hatimae zinatoa michango ya namna hii.
 
Engel Statement on Elections in Tanzania

Bronx, NY—Representative Eliot L. Engel, Chairman of the House Committee on Foreign Affairs, today made the following statement:

“It has been tragic to see Tanzania, once a promising democracy, slide into autocracy under John Magufuli’s leadership. Wednesday’s election to secure Mr. Magufuli’s second term was marred by fraud and the intimidation of the ruling party’s political opponents, in addition to disruptions to social media and other online communication platforms. I call on Tanzanian security forces to immediately cease violence against members of the political opposition attempting to peacefully protest the conduct of the elections."


Violence bequeath violence
 
Siasa sasa basi, tumechoka. Miezi miwili inatosha.Habari ya mujini ni mpira ni mpira tu sasa: 7/11/2020.
 
Hili la kuzima Net sikubaliani nalo kabisa na aliyetoa wazo hilo nadhani mtu ambaye hajielewi, hata kama nia ilikuwa nzuri lakini unawapa fursa watu kuamini kuwa nia zilikuwa ovu watu wasione mabaya unayotaka kufanya haya mambo yamepitwa na wakati sana. Tukirudi kwenye kauli za USA tusifanye dhihaka na tukaanza matusi sijui sisi matajiri ziko nchi matajiri kiukweli lakini wanafyata mikia likija suala la ugomvi na hawa watu, sio kwa kupigana maana huko hatuwezi wanatumia silaha yao ya kiuchumi tu na fitna wanakumaliza kama Mbwa mwitu anavyokula Zebra akiwa mzima. Naomba Mungu haya yapite kwa amani wasianze kutubania biashara na washirika wao nchi za ulaya na far east asia tutaumia sana. Mungu inusuru nchi yetu ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom