Uchaguzi 2020 US Foreign Affaires: We call on Tanzanian security forces to immediately cease violence

Siasa sasa basi, tumechoka. Miezi miwili inatosha.Habari ya mujini ni mpira ni mpira tu sasa: 7/11/2020.
Hiyo ndio ilikuwa plan mechi kusogezwa tarehe hiyo ilikuwa well planned, mzee anaapishwa tarehe 5 wakimaliza tu watu wataanza kufikiria mechi topic zitabadilika mechi ikipita itakuja wiki ya kubishana maana mechi imetengenezewa matukio ili watu baada ya tarehe 7 watatumia wiki nzima kujadili refa goal au sio goal wakija kumaliza wabunge wanaapishwa. mechi itakuwa na matukio mengi na hii ndio imepangwa.
 
Kufungwa kwa mitandao hakuangalii wewe NI ccm au chadema..
Ukifungia mitandao hata ccm pia wamo
Ila sindano imewaingia ki sawa sawa.
Sasa mmebaki kudandia matawi ndani ya maji
Mkiona kitaarifa kutoka popote mnadhani kitawasaidia.
 
Kama kweli wanataka kutusaidia, wamshushie mzigo kwa ma-drone hapo Chamwino kiulaini halafu wapotee tu bila kusema kitu.

Au wapige pembeni yake tu bila kumdhuru halafu wasubiri juma moja hivi kuona atafanya nini.
Naona umeanza kusimulia movie za kivita😂😂.Maisha hayaendi hivyo, chamsingi kaa kwa kutulia, hakuna kitakachobadilika
 
Muda wao wa kuogopeka duniani, unapita Sasa.Muangalie Korea kasikazini,Angalia kirusi cha wachina kilivyomteketeza😂😂.
Unasema technology? Rejea jinsi ambavyo uchaguzi wao wa 2016 ikiweza kudukuliwa kiulaini kabisa na Russia.
 
Muda wao wa kuogopeka duniani, unapita Sasa.Muangalie Korea kasikazini,Angalia kirusi cha wachina kilivyomteketeza😂😂.
Unasema technology? Rejea jinsi ambavyo uchaguzi wao wa 2016 ikiweza kudukuliwa kiulaini kabisa na Russia.
Kwa hiyo unaamini kabisa sisi tuko level moja na wa N.Korea na Russia?
 
Mkuu,

I am afraid if you are serious by posting these negative statements for consumption to everybody, I presume you are frying on your own fat-Period!!
 
Representative Eliot L. Engel can you sincerely compare what happened in Tanzania elections and what happened during the "Black Lives Matter" demonstrations in the US and the shameful force that the Trump Administration used on the minority demonstrators who were demanding for their rights in your country!? Can you equate the force that was used by your government in quashing those peaceful demonstrations!? Those acts made the US loose the so called "moral authority" of pointing accusing fingers to other nations, including Tanzania. As I have been saying, you guys have a duty to clean your house first before accusing and issuing uncalled for orders to other democracies.
 
Jiwe kaiharibu kabisa nembo ya drmokrasia ya nchi yetu.

Nyie mnaopiga kelele kusifia huu upuuzi mnajikakamua tu lakini roho zenu zinawauma.
Hata Jf imetekwa na dola ccm.
Labda ni makubaliano
 
Ushaambiwa
UCHAGUZI imeishaaa hioooooo
Hizoporojoo hata kwenyekanga zipoo
 
Ila sindano imewaingia ki sawa sawa.
Sasa mmebaki kudandia matawi ndani ya maji
Mkiona kitaarifa kutoka popote mnadhani kitawasaidia.
Vitaarifa hivyo huenda vikawasaidia maharamia kujitafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…