Nakumbuka Utopolo mlitolewa bila kufunga hata goli mojakwa timu mwenyeji
Refa maliza mpira roho inataka kutoka
Hii draw ya ugenini inatosha sana kukuhakikishia hilo.Hana huo uwezo
Siyo kwenye hatua ya makundiHivi ile sheria la goli la ugenini bado ipo kwenye haya mashindano?
kafunga huko haaya kajinyongeSasa mtu alikuwa anashinda kidimbwi kula bata unadhani atawasaidia nn Leo?
imebaki 1Katika zile 4
Dakika 2 zishapotea
Mkuu leo sioni maneno yako ya kukera yale au kwa sababu tummetoa draw?[emoji28]Hahaha boko bana
Mwehu? wale mawinga na washambuliaji waliomo wanamzidi nini? Umesahau alivyoibeba Simba mbele ya wale Reds wa Zambia?
Makosa aliyoyafanya dimbani ni machache kulinganisha na ya hao wengine mnaowafagilia (Muhilu,Mugalu,Boko,Kagere na wapuuzi wengine).
Nadhani @ukikaidi utapigwa na wengine mmenielewa hapo 👆. Huyo ndo Bernard Morrison na namna ninavyomwelewa.Mwehu? wale mawinga na washambuliaji waliomo wanamzidi nini? Umesahau alivyoibeba Simba mbele ya wale Reds wa Zambia?
Makosa aliyoyafanya dimbani ni machache kulinganisha na ya hao wengine mnaowafagilia (Muhilu,Mugalu,Boko,Kagere na wapuuzi wengine).
Alafu ndio uwanja mkubwa kuliko yote hapa Niger