US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Mwehu? wale mawinga na washambuliaji waliomo wanamzidi nini? Umesahau alivyoibeba Simba mbele ya wale Reds wa Zambia?

Makosa aliyoyafanya dimbani ni machache kulinganisha na ya hao wengine mnaowafagilia (Muhilu,Mugalu,Boko,Kagere na wapuuzi wengine).

Nadhani @ukikaidi utapigwa na wengine mmenielewa hapo 👆. Huyo ndo Bernard Morrison na namna ninavyomwelewa.
 
Back
Top Bottom