US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Hawa mbuzi ilioaswa tuwafunge, ndio basi tu, Kanoute kazingua.. Halafu mimi huyu kanoute bado kumuelewa, pass accuracy yake ni mbovu. Game hii alihitajika kiungi mnyumbukifu kuwa maliza pale kati, wajomba wanakaba kama game za ndondo.
 
Hii game ilipaswa Kanoute acheze na mkude pale katikati.
 
Mwalimu wa somo la hesabu? Unaona hesabu zako zilivyokua fake?

Tulisema hapa Simba ashinde mechi zake 2 za nyumban anafuzu, akishinda ijayo anafuzu au hafuzu??

Nyonyoma wewe
 
Rudi hapa useme tena kwamba kila team itaifunga USGN.
 
Rudi hapa useme tena kwamba kila team itaifunga USGN.
[emoji23][emoji23] utopolo utawaweza basi

Yan Simba ikipata upinzani sehem basi hiyo timu kali, simba ikifunga timu fulan basi hiyo timu n kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…