US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Hapana mkuu kwasbabu akishinda mechi za nyumbani pekee atakuwa na alama 10 kwa alama iliyopatikana leo
Tufanye Assec na Berkane nao wmeshinda mechi zote nyumbani watakuwa na alama 9 hapo huoni kuwa kitakachoamuliwa hapo ni nani aliyevuna point nyingi nyumbani kwa hawa wanaija? Kama Berkane na Assec watamfunga USGN nje ndani watakuwa wanapoint 12
Zinapita timu mbili kila kundi kwenda Robo fainali..
Yaani tukishinda mechi za nyumbani inatosha
 
Ka Group D ndo hako

Na huyo wakwanza anayeonekana hapo ndio admin

1645383654971.png
 
Zinapita timu mbili kila kundi kwenda Robo fainali..
Yaani tukishinda mechi za nyumbani inatosha
Hilo nalifahamu mkuu, sijaeleweka wapi kwani mbona hesabu rahisi tu? Ni hivi embu tuashum kila timu itashinda nyumbani kwake.

Simba itakuwa na point 9
Assec point 9
Berkane point 9
Mpaka hapo watakuwa wanafanana point,. je nini kitatokea endapo Assec na Berkane watamfunga USGN nyumbani kwake? Maanake wote watakuwa wamejiongezea point 3 huku simba akipata alama moja ugenini. Umeelewa?
 
Fuatilia record za usgm nyumbani sio rahisi kihivyo kuwafunga hata ahly alichemka hapo
Hapana mkuu kwasbabu akishinda mechi za nyumbani pekee atakuwa na alama 10 kwa alama iliyopatikana leo
Tufanye Assec na Berkane nao wmeshinda mechi zote nyumbani watakuwa na alama 9 hapo huoni kuwa kitakachoamuliwa hapo ni nani aliyevuna point nyingi nyumbani kwa hawa wanaija? Kama Berkane na Assec watamfunga USGN nje ndani watakuwa wanapoint 12
 
Hilo nalifahamu mkuu, sijaeleweka wapi kwani mbona hesabu rahisi tu? Ni hivi embu tuashum kila timu itashinda nyumbani kwake.

Simba itakuwa na point 9
Assec point 9
Berkane point 9
Mpaka hapo watakuwa wanafanana point,. je nini kitatokea endapo Assec na Berkane watamfunga USGN nyumbani kwake? Maanake wote watakuwa wamejiongezea point 3 huku simba akipata alama moja ugenini. Umeelewa?
Mkuu minakufatilia, lakini minaona iwe hivi,Simba mpaka sasa ana point 4,akishinda mechi mbili za home atakua na point 10.
Mechi zote za ugenini Simba atoe draw atavuna tena point 3.
Jumla Simba atakua na point 13.kazi imeisha.
 
Yaani
Pira Lao Hawa ni Papatu Papatu....Wakija Kwa Mkapa Mengi tu
Hawa mbona watapigwa nyingi! Sema Simba alichelewa kwenda huko na hakupata muda wa kufanya mazoezi kwa hiyo alianza mchezo bila fitness. Hiyo ni hatari sana kwa dakika 15 za mwanzo. Ndio maana kabla hawajakaa sawa ndani ya dk 15 tukafungwa goli. Baada ya hapo japo Simba alikuwa ugenini lakini hakutoa heshima hata kidogo kwa mwenyeji maana alishaona ni wepesi sana. Watabeba kapu nla magoli kwa Mkapa!
 
Zinapita timu mbili kila kundi kwenda Robo fainali..
Yaani tukishinda mechi za nyumbani inatosha
Hapana mkuu sio kweli na wasije wakasoma comment yako wachezaji wetu wakabweteka. Simba anahitaji tena point 1 away na points 6 home ili kujihakikishia kufuzu. Berkane na Asec wamebakiza mechi mbili mbili home maana yake wakishinda zote wanakuwa na points 9. Kama Asec na Berkane kila mmoja wataifunga USG away maana yake watafikisha points 12 kila mmoja huku simba ikiwa na points 10.
Kwa hiyo safari bado tusibwete.
 
Mkuu tofautisha nigeria na naija hao wapika pombe sisi tulienda nigeria kwenye mpira umezaliwa wewe umeenda naija (niger) kwa walevi
Tusamehe bure ndg yetu....Sasa tumewatofautisha Kumbe Waliowatandika 'Nje ndani' Ni Wanigeria....Basi Sisi Tulivyoona Jina linaanzia na Nige tukajua ndo hao hao kumbe Mwishoni Hakuna RIA...!
 
Back
Top Bottom