Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Zinapita timu mbili kila kundi kwenda Robo fainali..Hapana mkuu kwasbabu akishinda mechi za nyumbani pekee atakuwa na alama 10 kwa alama iliyopatikana leo
Tufanye Assec na Berkane nao wmeshinda mechi zote nyumbani watakuwa na alama 9 hapo huoni kuwa kitakachoamuliwa hapo ni nani aliyevuna point nyingi nyumbani kwa hawa wanaija? Kama Berkane na Assec watamfunga USGN nje ndani watakuwa wanapoint 12
Yaani tukishinda mechi za nyumbani inatosha