Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Cooling break
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simkubali kabisa niwe mkweli, ndio maana utopolo wanaongoza ligi.Huyu Kocha Wa Simba ni Kocha Kweli?? Maana Pia mpaka sasa Kupigwa Na Hako kateam kachovu inashangaza
Sasa mtu alikuwa anashinda kidimbwi kula bata unadhani atawasaidia nn Leo?Efua Morris hivi yupo?
Si Mmesema Hana Nidhamu Ameamua Kutulia Hadi Ndani Ya Uwanja [emoji23]Efua Morris hivi yupo?
Mkuu,unazijua vizuri mechi za ugenini?!Huyu Kocha Wa Simba ni Kocha Kweli?? Maana Pia mpaka sasa Kupigwa Na Hako kateam kachovu inashangaza
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alikuta tayari wanaongoza lakiniSimkubali kabisa niwe mkweli, ndio maana utopolo wanaongoza ligi.
Berkane kashapigwa 3 uko na asec.Mechi ijayo Berkane anatunyoosha
Usijali mkuu muda bado sana
Usisahu huku tulipo wewe ulitoka mwaka jana.Anayewekeza kwA marefa leo anapigwa kama mwizi
Atamaliza hasira na sisi
Ivory coast intaneshnoKapombe mwanangu, unarudishaje mpira nyuma hali ya kuwa unajua Wawa ni gari ya mkaa