US GLOBAL PRODUCTS

US GLOBAL PRODUCTS

Lakini mafuta yake hauzi nje anatumia yy tu na bado haya mtoshi kwa hiyo mafuta yake hayana faida yeyote kwako na kwa nchi yako, tofauti na mafuta ya Urusi na warabuni yana faida kubwa katika maisha yako ya kila siku maana yanasambaa dunia nzima.
Kwani Russia hapendi atumie hayo mafuta yake yeye mwenyewe? Tatizo ni uchumi wake ni dhaifu.
 
Hizo AK47 wewe unayo?
Jeshi la nchi yako zimejazana na majeshi yote ya dunia hadi waasi. Kwani mbona umezungumzia apple, sina product yoyote ya apple lakini haimaanishi sio global product
 
bado tuna safari sana! bila mchango wa Urusi kwenye mbolea mazao hakuna Marekani yenyewe inaagiza malighafi za kuzalisha mbolea kutoka Urusi na hivi karibuni wame agiza kwa kiwango kikubwa sana sana! swali fikirishi kwanini Warusi wana maisha mazuri kuliko raia wa Marekani!? Tatizo mmeshafisha bongo zenu kupitia vyombo vya habari vya Marekani!
 
Mtoa mada unachoshindwa kuelewa kuwa kati ya Urusi na Marekani kila mtu anatengeneza cha kwake ila ukija kwenye soko labda ndo kuna changamoto.Urusi vitu vyake anauza Europe na Asia,Marekani yeye vitu vyake anauza Dunia nzima.

Kwenye ubora kila mtu anamini cha kwake ni bora kuliko cha mwenzake ila soko kubwa Duniani kashika Marekani wala kwa ilo hakuna ubishi.Urusi vitu vingi anavyotengeneza ni kwa ajili ya kwake na nchi za karibu yake wala hajamua kutafuta masoko ya mbali kama vile Waturuki wanavyofanya vizuri kwa sasa kwenye masoko.Urusi anatengeneza kila kitu unachokijua wewe Duniani ila ajawekeza sana kutafuta masoko ya bidhaa zake ndo maana ni ngumu wewe kuzijua.

Baadhi ya bidha za Marekani zinazotamba ulimwenguni.
. Iphone, Apple Computers, Ndege za Boeing, IBM, Intel, Microsoft, Facebook, Whatsapp, Coca-cola, PepsiCola, Colgate,
Haya ukitoa gas na mafuta taja bidha Moja maarufu Duniani inazalishwa Russia
 
Vodka na Baltika sio global

bado tuna safari sana! bila mchango wa Urusi kwenye mbolea mazao hakuna Marekani yenyewe inaagiza malighafi za kuzalisha mbolea kutoka Urusi na hivi karibuni wame agiza kwa kiwango kikubwa sana sana! swali fikirishi kwanini Warusi wana maisha mazuri kuliko raia wa Marekani!? Tatizo mmeshafisha bongo zenu kupitia vyombo vya habari vya Marekani!
Dah! Hata uchumi wa California ni mkubwa kuliko wa Russia alafu unaifananisha Russia na USA.
 
Mtoa mada unachoshindwa kuelewa kuwa kati ya Urusi na Marekani kila mtu anatengeneza cha kwake ila ukija kwenye soko labda ndo kuna changamoto.Urusi vitu vyake anauza Europe na Asia,Marekani yeye vitu vyake anauza Dunia nzima.

Kwenye ubora kila mtu anamini cha kwake ni bora kuliko cha mwenzake ila soko kubwa Duniani kashika Marekani wala kwa ilo hakuna ubishi.Urusi vitu vingi anavyotengeneza ni kwa ajili ya kwake na nchi za karibu yake wala hajamua kutafuta masoko ya mbali kama vile Waturuki wanavyofanya vizuri kwa sasa kwenye masoko.Urusi anatengeneza kila kitu unachokijua wewe Duniani ila ajawekeza sana kutafuta masoko ya bidhaa zake ndo maana ni ngumu wewe kuzijua.
Mada unasema Grobal Product, haya unayoyasema wewe hata bongo tuna MO energy, nivema ukajikata kwenye mada kwa kutoorodheshea Grobal Products za Russia.
 
Back
Top Bottom