US kuiwekea vikwazo ICC leo; yasema White house

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Trump atasaini amri leo ya kuiwekea vikwazo ICC kuhusiana na uchunguzi waliowahi kuufanya hapo nyuma kuhusu Marekani na washirika wake kama Israel, vikwazo hivyo ni ikiwemo vikwazo vya kifedha na vya visa kwa wahusika wa uchunguzi huo na familia zao, ikisema Ikulu.
 
Amesema mambo mazuri, hapa sasa anaharibu. Lile la Gaza na hili hapana. Huyu mzee sifa zimepitiliza sasa. Yaani US uiguse Israel wakuache salama!!!

Atakuja tu na tamko la Iran soon, kama si kuwaongezea vikwazo atajua mwenyewe nini ataamua. Israel imewekwa na US kimkakati sana.
 
hivi USA kuwa inawashwaga nini hasa yaani kitu kizuri afanye yeye pekee tu ila wakifanya wengine ni uhaini na kuwekewa vikwazo..sote tunajua USA sio member wa ICC na wanakuwa wakali kama hivi wakiguswa washirika wake ambao ni member hataki waguswe kabisa..lakini nchi au viongozi wasiopendwa na USA wakifanya makosa yale yale yanayofanywa na washirika wake basi haraka wanakuja juu atataka washitakiwe ICC na kufungwa jela kisa ni viongozi wasiopendwa na marekani..ni ushenzi kabisa hao USA kujipa haki huku wakitaka wenzao wasipate haki hiyo hiyo..usa inawashwa na mambo ya wengine ambako hata hayamuhusu.!
 
Sema Trump sio USA
 
Msijisahaulishe, Chuma kauli mbiu yake ni "Make America great again", pia hakuishia hapo akaongeza "Maslahi ya Marekani kwanza" ndipo yafuate mambo ya wengine.

Hivyo, ktk mchakato wa kutekeleza hayo, lazima nyasi ziumie wakati Fahari anatamba uwanjani.
 
Jamaa ataharibu soon! Ngoja tuendelee kuangalia hii trend ya vioja!!
 
Amesema mambo mazuri, hapa sasa anaharibu. Lile la Gaza na hili hapana. Huyu mzee sifa zimepitiliza sasa. Yaani US uiguse Israel wakuache salama!!!

Atakuja tu na tamko la Iran soon, kama si kuwaongezea vikwazo atajua mwenyewe nini ataamua. Israel imewekwa na US kimkakati sana.
unapingana na Quran ? km Pakistan , au South Sudan au Liberia au Sierra Leone bas Israel ilipaswa kuwepo , waarab wanadanganya watu kuwa wayaud waliletwa toka ulaya ila uhalisia wayaud walikwepo hapo zama na zama , ni wayaud wachache sana ndo walianza kuja kuanzia miaka ya 1800s hadi 1948 , wayaud walikwepo kweny nchi zote za mashariki ya kati ila wamepambana kuwaua na kuwafany waishi maisha magumu hali iliyopelekea wote kukimbilia Israel ambapo ndo palikuwa mahali mahali salama japo napo waarab wanapataka
 
Bado kidogo tutajua kama kweli USA inaendeshwa na mifumo au ni kwamba tu hakupatikana kichaa wa kukitumia vizuri kiti cha uraisi
 
Duniaa ilijisahau Kwa muda wa miaka 4 na ikawa Haina hamsha hamsha kbs 😅 😅😅 ,,ss ameingiaa mwenye duniaa yakee anapelekeaa pumzi ya motoooo mpk wategemezi wanashindwa kurudisha mashambulii....

TRUMP MINNE TENAAAAA,,
 
ICC inashughulika na criminals na mpaka sasa hivyo kwenye indictee list yake ni pamoja na Putin na Netanyahu ambao wote ni washikaji wake.

Trump mwenyewe ni convicted felon na alikwepa conviction nyingine kadhaa ya kuchaguliwa kuwa rais. Kama ni kweli katoa tamko hilo basi itakuwa ni baada ya kukutana na Netanyahu, na unavyojua felons huwa hawapendi sheria kufuata mkondo wake
 
Trump atasaini amri leo ya kuiwekea vikwazo ICC kuhusiana na uchunguzi waliowahi kuufanya hapo nyuma kuhusu Marekani na washirika wake kama Israel, vikwazo hivyo ni ikiwemo vikwazo vya kifedha na vya visa kwa wahusika wa uchunguzi huo na familia zao, ikisema Ikulu.
Trump anamlinda Netanyau
 
Ukisikia ukoloni mambo Leo ndio huu sasa.. kwanini nchi za Afrika na viongozi wake wasiungane kulipa pesa WHO n.k BRICS pia mchango wao UN ni upi?..

Kama wana akili this is the right time kuwapoteza hao mabeberu wazee

Back
Top Bottom