US kuiwekea vikwazo ICC leo; yasema White house

US kuiwekea vikwazo ICC leo; yasema White house

Amesema mambo mazuri, hapa sasa anaharibu. Lile la Gaza na hili hapana. Huyu mzee sifa zimepitiliza sasa. Yaani US uiguse Israel wakuache salama!!!

Atakuja tu na tamko la Iran soon, kama si kuwaongezea vikwazo atajua mwenyewe nini ataamua. Israel imewekwa na US kimkakati sana.
Mbona ametoa tamko la kuwa atawaongezea vikwazo anataka wasiwe hata intercontinental ballistic missiles yani anataka wawe na silaha za mabomu ya kurusha na bunduki tu.
Iran wasijaribu kumsikiliza maana US huwa anapenda kwanza usiwe na silaha ili akuvamie
 
hivi USA kuwa inawashwaga nini hasa yaani kitu kizuri afanye yeye pekee tu ila wakifanya wengine ni uhaini na kuwekewa vikwazo..sote tunajua USA sio member wa ICC na wanakuwa wakali kama hivi wakiguswa washirika wake ambao ni member hataki waguswe kabisa..lakini nchi au viongozi wasiopendwa na USA wakifanya makosa yale yale yanayofanywa na washirika wake basi haraka wanakuja juu atataka washitakiwe ICC na kufungwa jela kisa ni viongozi wasiopendwa na marekani..ni ushenzi kabisa hao USA kujipa haki huku wakitaka wenzao wasipate haki hiyo hiyo..usa inawashwa na mambo ya wengine ambako hata hayamuhusu.!
cc..
 
Ndio maana ya superpowaer unafanya kitu chumbani kwako madhara yanaonekana Dunia nzima.
 
Back
Top Bottom