I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Washauri wa Trump ni hawa hapa:Trump anachanganyikiwa, waliye karibu nae wawe washauri wazuri kama wanampenda jamaa.
Sema Trump sio USAhivi USA kuwa inawashwaga nini hasa yaani kitu kizuri afanye yeye pekee tu ila wakifanya wengine ni uhaini na kuwekewa vikwazo..sote tunajua USA sio member wa ICC na wanakuwa wakali kama hivi wakiguswa washirika wake ambao ni member hataki waguswe kabisa..lakini nchi au viongozi wasiopendwa na USA wakifanya makosa yale yale yanayofanywa na washirika wake basi haraka wanakuja juu atataka washitakiwe ICC na kufungwa jela kisa ni viongozi wasiopendwa na marekani..ni ushenzi kabisa hao USA kujipa haki huku wakitaka wenzao wasipate haki hiyo hiyo..usa inawashwa na mambo ya wengine ambako hata hayamuhusu.!
Itapelekewa Pumzi Ya Moto Mkali SanaBaada miezi sita dunia itanyooka sanaa
unapingana na Quran ? km Pakistan , au South Sudan au Liberia au Sierra Leone bas Israel ilipaswa kuwepo , waarab wanadanganya watu kuwa wayaud waliletwa toka ulaya ila uhalisia wayaud walikwepo hapo zama na zama , ni wayaud wachache sana ndo walianza kuja kuanzia miaka ya 1800s hadi 1948 , wayaud walikwepo kweny nchi zote za mashariki ya kati ila wamepambana kuwaua na kuwafany waishi maisha magumu hali iliyopelekea wote kukimbilia Israel ambapo ndo palikuwa mahali mahali salama japo napo waarab wanapatakaAmesema mambo mazuri, hapa sasa anaharibu. Lile la Gaza na hili hapana. Huyu mzee sifa zimepitiliza sasa. Yaani US uiguse Israel wakuache salama!!!
Atakuja tu na tamko la Iran soon, kama si kuwaongezea vikwazo atajua mwenyewe nini ataamua. Israel imewekwa na US kimkakati sana.
Namkubali sana Trump. Kuhusu Iran ameshasema ndiyo watakaoijenga Gaza. Amesema kama waliweza kufadhhili matukio yaliyopelekea Gaza kubomolewa vile, Basi Iran Doha na anaangalia nchi nyingine zinazotakiwa kuchangia ujenzi wa Gaza Mpya inayostahili kuishi binaadamAtakuja tu na tamko la Iran soon, .
Trump anamlinda NetanyauTrump atasaini amri leo ya kuiwekea vikwazo ICC kuhusiana na uchunguzi waliowahi kuufanya hapo nyuma kuhusu Marekani na washirika wake kama Israel, vikwazo hivyo ni ikiwemo vikwazo vya kifedha na vya visa kwa wahusika wa uchunguzi huo na familia zao, ikisema Ikulu.
Ukisikia ukoloni mambo Leo ndio huu sasa.. kwanini nchi za Afrika na viongozi wake wasiungane kulipa pesa WHO n.k BRICS pia mchango wao UN ni upi?..Trump atasaini amri leo ya kuiwekea vikwazo ICC kuhusiana na uchunguzi waliowahi kuufanya hapo nyuma kuhusu Marekani na washirika wake kama Israel, vikwazo hivyo ni ikiwemo vikwazo vya kifedha na vya visa kwa wahusika wa uchunguzi huo na familia zao, ikisema Ikulu.
Trump atasaini amri leo ya kuiwekea vikwazo ICC kuhusiana na uchunguzi waliowahi kuufanya hapo nyuma kuhusu Marekani na washirika wake kama Israel, vikwazo hivyo ni ikiwemo vikwazo vya kifedha na vya visa kwa wahusika wa uchunguzi huo na familia zao, ikisema Ikulu.
Mshauri wake si Elon?!Trump anachanganyikiwa, waliye karibu nae wawe washauri wazuri kama wanampenda jamaa.