Amesema mambo mazuri, hapa sasa anaharibu. Lile la Gaza na hili hapana. Huyu mzee sifa zimepitiliza sasa. Yaani US uiguse Israel wakuache salama!!!
Atakuja tu na tamko la Iran soon, kama si kuwaongezea vikwazo atajua mwenyewe nini ataamua. Israel imewekwa na US kimkakati sana.