Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia ni kama maji usipomnywa utamuoga [emoji16][emoji635]
[emoji23][emoji16][emoji16]Dj tuletee wamarekani wa buza
Hungary atauziwa bei ile ile na huenda ajashushiwa kabisa [emoji16]Mkuu nasikia Hispania watu wanaandamana kushinikiza waziri mkuu kuachia kiti sababu kupanda kwa gharama ya maisha hapa ndo naona waziri mkuu wa Hungary alikuwa sahihi kukataa vikwazo vya mafuta na gesi toka urusi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji848]UAE says energy market needs Russian oil
DUBAI, March 28 (Reuters) - Russian oil is needed by energy markets and no producer can substitute its production, United Arab Emirates energy minister Suhail al-Mazrouei said on Monday.
He told an industry event that OPEC needed to stay together, stay focused and not allow politics to distract the group.
Reporting by Maha El Dahan and Riham Alkoussa; Writing by Nadine Awadalla; Editing by Edmund Blair
USA anawadanganya watu na madai ya
[emoji444][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji445][emoji442]Maandano ni kila kona ulaya tusubiri Russia amalize Operation yake ili tushuhudie ulaya kulivyochangamka sasa hivi si wanaficha kujifanya wanaripoti operation kukipoa kwingine kunatibuka
Nakwambia wa US wa huko Nachingwea wakiona taarifa kama hizi wanaishia kwenda kula tunda kimasiharaKwenye mada kama hizi huwezi kumuona bwana Yoda anachangia[emoji1787]