US Monastrs vs Yanga: Yanga mkicheza ule mpira wetu wa polepole, hatutoboi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Nimejaribu kucheki video za hawa jamaa na Nimecheki mechi zao kupitia aplication ya kora online

Hawa us monastrs wana timu nzuri saana na wanacheza mpira wa kasi saana pamoja na nguvu kwahiyo yanga mkicheza ule mpira wetu wa polepole au kuanzisha mashambulizi nyuma kwa kupiga pass ndogo ndogo
Hakika hatutoboi.

Yaani hapa tukiende kule twende na mpira muhogosto (yaani Na liwalo na liwe) ni kushambulia mwanzo mwisho ili tusiwape nafasi ya kupandisha wachezaji wao wengi mbele bila ivo tutapasuka mbili kwa sifuri

Tuwape ball possion Kwa kuweka mabeki wa tano nyuma.

Centre milder mmoja.

Na centre forwards wa 3 na left winger pamoja na right winger.

Huu unaitwa mpira naliwalo na liwe tunakuchezea mpira wa kuushambulia. tu kwa kupiga long pass tu ukijifanya kiherehere cha kushambulia na kuacha mabeki wa wili au watatu nyuma kazi yake ni kilio.
 
Tunakushukuru sana ndugu yetu Jemedari Said aka Bin Kazumari kwa mchango wako chanya. Ungekuwa hivi siku zote, hakika timu yetu ingefika mbali. (Just kidding)
 
Kila team na formula yake usitake yanga wacheze kama wao
 
Kesho mpaka saa Tatu kamili usiku kocha wa TP Mazembe atajikuta kikosi hakiko Sawa kila akijaribu kuona Yanga alivyowasha Moto huko
 
Eeee Mungu wa utulipiaye kisasi
Mungu usiyekubali waja wako tudharirike naomba hawa ndugu kiwakute kilichotukuta huko kwenye nchi ya masinagogi
Amina.
 
tulia bro wewe sio kocha tuna makocha makini wanajua nini kinatakiwa kufanywa
 
Wanafungika hukohuko kwao...walikuwa wanacheza na wabovu.......Yanga inabadilika kutokana na mazingira.....km umefatilia mechi za Yanga kimataifa utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…