kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Nimejaribu kucheki video za hawa jamaa na Nimecheki mechi zao kupitia aplication ya kora online
Hawa us monastrs wana timu nzuri saana na wanacheza mpira wa kasi saana pamoja na nguvu kwahiyo yanga mkicheza ule mpira wetu wa polepole au kuanzisha mashambulizi nyuma kwa kupiga pass ndogo ndogo
Hakika hatutoboi.
Yaani hapa tukiende kule twende na mpira muhogosto (yaani Na liwalo na liwe) ni kushambulia mwanzo mwisho ili tusiwape nafasi ya kupandisha wachezaji wao wengi mbele bila ivo tutapasuka mbili kwa sifuri
Tuwape ball possion Kwa kuweka mabeki wa tano nyuma.
Centre milder mmoja.
Na centre forwards wa 3 na left winger pamoja na right winger.
Huu unaitwa mpira naliwalo na liwe tunakuchezea mpira wa kuushambulia. tu kwa kupiga long pass tu ukijifanya kiherehere cha kushambulia na kuacha mabeki wa wili au watatu nyuma kazi yake ni kilio.