Augustine Moshi said:Naunga mkono kuweko kwa kambi za majeshi ya Marekani hapa kwetu. It would bring in much needed publicity, and money
Na hapo ndo utaona vyombo vya usalama vya bongo viko POWERLESS kwani walinzi kwa sehemu zote Kichaka atakazokwenda watakuwa US tupu. Hata JK anaweza kusachiwa wakati wanaingia IKULU.
Mwalimu do you relly think tatizo la watanzania ni pesa? kama ni hivyo Balali angetoa wapi mabilioni aliyoyaiba na washirika wake? JK angetoa wapi mabillion anayotafuna kila siku na washirika wake? Binafsi nadhani tatizo la Tanzania siyo pesa wala publicity ni watu wa kuzisimamia hizo pesa kwa makini kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania. Na sidhani ujio wa Joji utatusaidia katika hili.
Lame duck President! Hakuna anachoweza kusaidia katika wakati huu wa uongozi wake. Ni dalili nyingine ya jinsi wanavyolidharau bara letu. Bill Clinton nae alitutembelea wakati ameishakuwa kikatuni katika jumuia ya wamarekani. Wanakuja kutusumbua tu. Tutawavurumusha raia zetu ili wasimsumbue mkuu huyu ambaye sidhani kama atalala hapo wala kunywa maji yetu! Abaki huko aliko. Hii ni photo op. kuwaonyesha watu weusi na liberals kuwa wao si wabaguzi. Anawafagilia wakina McCain na wala sio sisi.
Mwl. Moshi, sawa lakini ambacho hukitaji ni ule utakaokuwa 'UJIO wa ALQAIDA' kwa nguvu kubwa na sababu kubwa!!The devil is in the detail. How can a middle aged man visit five countries in six days? You need six days just to fly over all those places!
Perhaps he will be here only for a couple of hours. That will hardly be significant. Why did the press release not give the duration of the visit? Will George Bush leave the the airport?
Naunga mkono kuweko kwa kambi za majeshi ya Marekani hapa kwetu.
It would bring in much needed publicity, and money. It would be a major
boost to our tourism. It might even bring us direct flights from the USA to DIA and KIA
Lame duck President! Hakuna anachoweza kusaidia katika wakati huu wa uongozi wake. Ni dalili nyingine ya jinsi wanavyolidharau bara letu. Bill Clinton nae alitutembelea wakati ameishakuwa kikatuni katika jumuia ya wamarekani. Wanakuja kutusumbua tu. Tutawavurumusha raia zetu ili wasimsumbue mkuu huyu ambaye sidhani kama atalala hapo wala kunywa maji yetu! Abaki huko aliko. Hii ni photo op. kuwaonyesha watu weusi na liberals kuwa wao si wabaguzi. Anawafagilia wakina McCain na wala sio sisi.
...eee bwana eee nimecheka ile mbaya lakini kuna kaukweli,sitashangaa wale wapambe wa JK wakatupwa nje na secret service si unajua hawa jamaa wanapokanyaga wanakuja full nondo kuanzia communication mpaka magari ya bush yatashuka ndani ya Airforce one,na sijui kama watalala,ila uzuri JK atakarabati vile vibarabara na kuvisafisha safisha,ila wazururaji watch out mnaweza kuozea central mpaka Bush aondoke
We Koba we,
Mbona sina mbavu, just imagine Tibaigana ana-cordinate ulinzi na jamaa wa Secret Service pale Kempinski.