US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara


Duh! Mimi sikujua kama ndo iko kwenye hiyo "construction" muda wote huo! Kweli bongo tunaenda tu kisanii....maisha yetu ni ya kinyani hata hivyo. Tutakuwa serious lini? hata ikulu hamna seriousness!...je huko vitongojini? Kwenye ICT sisi naona hatuna vision kabisa.
 
The old fashioned Salva cannot improve anything.

Wachina waliopewa tenda ya kujenga hiyo website ndio wamechelewa,itabidi tutafute wa italia au wajapan. soon "construction" itamalizika tu. subirini jamani there is no HURRY in Africa!

Ila naona kuna wizara ya ICT imeundwa!
 
Halafu utasikia serikali imenunua laptop 1000 kutoka kwa Rostam Aziz kwa ajiri ya wafanyakazi wa idara A,B,C huku hata word & internet hawajui na wizara haina hata website na kazi zake zote ni kwenye files,na wakati huo huo wafanyakazi 20 wa wizara ya pumba ghasia wameenda masomoni ulaya kujifunza computer kumbe wameenda NY for 2 weeks kujifunza windows,halafu huyo mwendawazimu ghasia kasema hawezi kutuajiri mana anataka kuretain talent zake za ndani zisizojua hata nini maana ya neno IT....kazi ipo!
 
HII NI WEBSITE YA EMBASSY YETU......LEO....Hawaja update what is use of website?

....bora hiyo ya no update,hao watu wa embassy unaweza kwenda pale na hata kukuangalia wasikuangalie achilia mbali kukusikiliza!
 

Mkuu Koba

Hii ndio inawafanyanya watu wafanye kazi serikalini hata kama mtu analipwa elfu alobaini kwa mwezi.

Dubious moja tu na Rostam Aziz(Mzee wa kufacilitate dobious) analipiza mishahara ya miaka mitano mpaka kumi ya mfanyakazi anayelipwa dola 3000-4000.
 
Game Theory,

Usitufanye wote watoto wadogo bwana au tupo wazembe kama Salva, Lowassa na VDG!

Dada Mchele anaingia Nairobi in few hours ili Mnene Kichaka asiende huko, sasa wewe unatuambia kavunja safari?

http://www.whitehouse.gov/news/releases/2008/02/20080214.html
http://www.whitehouse.gov/news/releases/2008/02/print/20080213-1.html


http://www.state.gov/r/pa/prs/dpb/2008/feb/100892.htm
 
Sidhani kama ziara imehairishwa, Mbona Makachero wa ki america wamejaa mtaani Bongo?Hata mawasiliano ya Visimu yote sasa hivi yanasikilizwa?
Mtukufu Rais wetu jana kasisitiza tumpokee mgeni wetu GB,Na hata kama hatafika yeye, atakuwepo mwakilishi wake huyo mama wa mambo ya nje.
 
Hiki ndo Bush alichosema,

WASHINGTON (AFP) — President George W. Bush on Thursday announced plans to support a Kenyan peace bid and highlighted US aid to Africa but warned that domestic politics could delay his week-long trip to the continent.

The president was to depart Friday for a trek to Benin, Tanzania, Rwanda, Ghana and Liberia likely to mark his last visit to Africa as president, as he hoped to underscore the gentler side of US policy amid global condemnation of his war in Iraq.

But Bush said he could postpone the visit in order to coax the House of Representatives into passing a controversial wiretapping measure that would allow surveillance of foreign contacts without penalty for companies that engage in it.
 
Kwakweli huyu jamaa hana lolote. Anakuja huku kwa interest zake binafsi bwana. Lakini sasa akiahirisha hawa wenzetu waliopanga kuandamana sijui itakua vipi. Lakini nadhani waheshimiwa wa pale central police hawataruhusu hayo maandamano.
Tuendelee kusikilizia. Jamani wadau nita nafurahi kuona web hii inaishi milele maana inatuwzesha sana.
 

Tatizo huko hakuna wataalam wa kufanya kazi,wako wataalam wa kuandaa warsha na makongamano tu.siawahi kuoana kazi wanayo fanya watu wa ICT pale ilpokuwa wizara ya Miundombinu.
 
Jana Waliingia diplomatica na official yoka marekani wapatao 250.wamekuja na magari 8 ambayo atatumia Bush.yaani watu wote inaonekana ni watu wa CIA na wanajeshi na wataalam..yaani wamechukua yadi ya zamani ya ATC imekuwa yao na wameweka mitambo yao na vifaa vyao..wanacontrol Airport nzima!

kamera zote ziko chini yao,na nasikia kuanzai leo wataanza kumonitor mawasiano yote ya Simu pamoja na internet.
 
Sii kwamba ziara imefutwa- ila anaweza kuchelewa for a day kwa vile kuna bill ya national security anaipigia debe kwanza!

Kama hii bill ikielekea kuungwa mkono basi hakutakuwa na change ya ratiba!
 
US presidential chopper spotted in Dar




THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE United States presidential helicopter, popularly known as Marine One, has been spotted cruising the skies of Dar es Salaam ahead of the historic visit of US president George W. Bush to Tanzania this weekend.

Marine One is the call sign of any US Marine Corps aircraft carrying the president. It usually denotes a helicopter operated by the US Marines HMX-1 ’Nighthawks’ squadron, either the large VH-3D aircraft or the newer, smaller VH-60N Whitehawk.

’’I saw Marine One flying at low altitude in Dar es Salaam yesterday (Wednesday)...it’s quite a magnificent aircraft,’’ said an eyewitness who seemed quite awed by the spectacle of the white and dark-green coloured chopper with a US flag on it.

It is understood that US marines have booked an entire hotel in Dar es Salaam, where they are already stationed in preparation for President Bush’s February 16-19 visit.

Well-placed sources say after landing in Dar es Salaam on the Air Force One presidential jet, the US president will fly to State House aboard Marine One.

Experts say Marine One is sometimes the preferred alternative to presidential motorcades, which can be expensive and logistically difficult, especially for a city like Dar es Salaam with its notorious traffic jams.

According to an article on Marine One posted on Wikipedia, the controlled environment of a helicopter adds greatly to the safety factor as well.

It is said that as a security measure, Marine One always flies in groups with identical helicopters, sometimes as many as five.

One helicopter carries the president, while the others serve as decoys in case of the presence of any would-be assassins on the ground.

Upon take-off, these helicopters begin to shift in formation (sometimes referred to as a ’Presidential Shell Game’) regularly to keep the location of the president secure.

Marine One is reportedly also equipped with standard military anti-missile counter measures, such as flares to counter heat-seeking missiles and chaff to counter radar-guided missiles.

Marine One is always transported (as is the president’s limousine) to wherever the US president travels, whether within the United States or overseas.

There has been a beehive of activity at the Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam during the course of this week, with various US Air Force and Marine Corps aircraft landing and taking off from the terminal.
 

Gembe, yaani hapa kama ni kwenye kideo mtu unaweza 'kuwapungia mkono vile wanaopiga picha za tv - hellow niko hapa!!'... ha ha ha, maana kila political internet traffic Bongo itaonekana ku originate au kuelekea JF!! kama siyo itakuwa kwa kaka Michuzi au kule KLHNews kwa Mkjj...Hapo ndipo watakapo iheshimu JF!! lol
 
That's what's up!! Yaani raisi wa US akiendaga kwenye nchi maskini za ulimwengu wa tatu mazungumzo mengi huwa ni juu ya gadgets walizonazo jamaa. Kwikwikwiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…