US Navy Operation red wing

US Navy Operation red wing

Sishangai nchi yetu kutokuendelea kwasababu ya kuwepo watu wa aina kama yako.....

Mtu mwenye hekima na namna njema ya kufikiri kama The bold hawezi kuwa na mawazo ya ajabu kama yako kwasababu anafahamu kuwa vipaji huwa vinatolewa kwa wengi hivyo hakuna haja ya kukandamizana namna hii....

Pamoja na hayo,huyu mleta hii thread hapa amelelezea tukio moja tu na halifanani na yale anayoyafanya The bold,na hata kama yangefanana hakuna ubaya wowote wa mtu mwingine kuelezea...

Kungekuwa na watu kama wewe tangu kuumbwa kwa dunia hii tusingekuwa tumeendelea kabisa..

Aina hii ya kufikiri ni hatari sana kwa maendeleo ya binadamu...
Umenena vyema sana mkuu...

Huwa nasikitika sana nikikutana na comment za namna hii.!! Mtu anapotumia jina la mtu ili kumkashifu mtu mwingine... Ni kitendo ambacho si cha kiungwana kabisa kwa yule anayekashifiwa na yule ambaye jina lake linatumiwa kukashifu...

Nasikitikaga pia maana comment za namna hii zinanitengenezea "maadui" pasipo sababu ya msingi... Maana kwa saikolojia ya kawaida tu ya binadamu, mto mada lazima atajisikia vibaya and there is a big chance atakuwa na kinyongo na huyo "the bold" aliyetajwa...

Mbaya zaidi hili ni jukwaa la "Intelligence", tunategemea wachangiaji wa jukwaa hili kushirikisha zaidi akili zao kuliko "mihemuko"... Ushabiki wa dizaini hii ubakie huko kwa kiba na diamond... Humu iwe ni mijadala yenye kuchochea kufikiri na udadisi..


Kwa wana familia wote wa JF, naomba ifahamike kuwa siungi mkono comment za namna hii, za watu wenye kutumia jina langu (au member yeyote yule) kukashifi mtu mwingine...

Naona huyu aliyeweka hii comment yuko banned, nashukuru sana Jamii forums kama amepewa ban kwa sababu ya comment hii ya kipuuzi na uchonganishi...


Mkuu Slowly naomba nikupe pole kwa kadhia hii... Nataka ufahamu kuwa nakuunga mkono na nafurahia hiki unachokifanya...

Tuko pamoja sana wakuu!


The Bold
 
Acha ushamba kama ujaiona movie kausha umepuyanga kinoma kila mtu anauhuru wa kuandika kwani umeitwa ku changia acha uchawi huo simu yake bando lake mwache atupe burudani shm! eti bold kwani lazima awe yeye tuliza lepe ilo

Una mahaba na hekaya za huyo mtu wako the bold.Mkuu kila mtu ana haki ya kuelimisha na kuburudisha hili jukwaa sio LA the bold mfuate whatsap.
Wakuu,


Naomba nisihusishwe kwenye comment za namna hii! The Bold ni mtu mnyeymnyekevu na kamwe huwezi kumkuta hata siku moja anamkejeli mtu au kulumbana na watu humu...

Hawa wanataka kutumia jina langu kukashifu watu binafsi siwaungi mkono na wala sifurahishwi na hiki kitu!!

Natamani watu wajue vile naumia nikona jina langu linatumika vibaya kukashifu watu!!

Huu si uungwana kabisa.
 
Na kweli jamaa mjinga sana mama yake kapata hasara sana yani kwa kudakia dakia tu anaonekana ni enola "gay" shenzy usigombanishe watu na laiti kama tungekua sehemu ya live ungekula vichwa vya hatari
 
Salute kwake[emoji8][emoji8][emoji8].

hii lone survivor niliiona sijui mwaka juzi.
si ameigiza yule kaka alo-act titanic
waarabu wabaya sana kuna mtu alienda kuchinjwa kwenye gogo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]kama kuku......


s/o kwa wanajeshi wote!!!! salute ziende kwenu[emoji8][emoji8][emoji8]wanaume wa Kweli.

next week naenda kumuomba Co mwanajeshi mmoja anioe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12] siwezi kuolewa na kilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Daaa!!! Lone survivor inasikitisha mno asee
 
Asante mkuu....mwanzo nilihisi ni kisa kipya but baada ya kukutana na iyo habar ya wachungaji nikaanza kuhisi nakijua coz muvie nilipata kuiona...ni nzur ila sikujua kama movie inaelezea tukio halisi..Nashukuru kuongeza ufahamu.
 
Mwachie the bold ndo mbabe wa hizi kitu. Sio lazima wote tuandike. Unaharibu ladha ya mambo
Ndio maana uka quote uzi wote cos hujielewi, sasa huyo the bold tungemsubr mpk ln kutuletea nyuzi kali km hii?
 
Hadithi ya Hussein Issa Tuwa inayokwenda kwa jina la Mdunguaji [Sniper] ingekuwa haijatoka kabla ya hili tukio ingeonekana amekopi kwa namna fulani maana inafanana kiasi na tukio hili....

Kwa wale walioisoma wanaelewa....
Asee naomba uni hook km ipo humu
 
Wakuu,


Naomba nisihusishwe kwenye comment za namna hii! The Bold ni mtu mnyeymnyekevu na kamwe huwezi kumkuta hata siku moja anamkejeli mtu au kulumbana na watu humu...

Hawa wanataka kutumia jina langu kukashifu watu binafsi siwaungi mkono na wala sifurahishwi na hiki kitu!!

Natamani watu wajue vile naumia nikona jina langu linatumika vibaya kukashifu watu!!

Huu si uungwana kabisa.
Well said mkuu much respect!
 
Mkuu mleta Uzi Slowly Uko njema , umesimulia vizuri yaani kama Nina angalia movie yenyewe namna illivyokuwa. Aisee umeelezea poa sana.
 
Movie nzuri. Capt. Murphy alipewa medali ya juu kabisa ya kutambua ushujaa wake katika mapambano - medal of honor. RIP
 
Asante mkuu heshima kwako.....japo Kuna mapungufu kidogo sio mbaya
 
Hahahah a mkuu kumbe na wewe umeisoma na ni mdau wa tuwa.big up sana mkuu.

Vampire,black mamba. Hamedee
Hadithi ya Hussein Issa Tuwa inayokwenda kwa jina la Mdunguaji [Sniper] ingekuwa haijatoka kabla ya hili tukio ingeonekana amekopi kwa namna fulani maana inafanana kiasi na tukio hili....

Kwa wale walioisoma wanaelewa....
 
Mkuu nime-like ingawa story sijaimaliza...safi sana kaka.
 
Hahahah a mkuu kumbe na wewe umeisoma na ni mdau wa tuwa.big up sana mkuu.

Vampire,black mamba. Hamedee
Niliisoma na nina kitabu chake mkuu....

Nawakumbuka sana akina Stealth,Alpha,Honey-Bee,Vampire,Cheetah na wengine mkuu...

Jamaa ni mkali sana kwa kutunga....
 
Back
Top Bottom