US Senator (Democratic): Kwa yaliyofanyika 29/10, uhusiano wetu na Tanzania lazima uangaliwe upya

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi.

Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire.
=============

The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history.

Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for future investment. I look forward to seeing @StateDept's review of the bilateral relationship. - senator Shaheen SFRCdems.
 
Wewe naye!
Huchoki!? Kazi zako wafanya muda gani? Au hii ndo kazi yako?
 

Kila anayelaani au kuchukua hatua dhidi ya uovu ule wa Oct 29, hakika ana Roho wa Mungu ndani yake. Hakuna mwanadamu mtimilifu anayeweza kuona kuwa mauaji yale ni jambo sahihi, labda kama wewe ni wakala wa shetani.

Wito:
Tuthamini uhai wa kila mmoja kwani hakuna mwanadamu anayeweza kuurudisha uhai wa kitu chochote. Usiondoe kitu usichoweza kukirudisha. Waliochomewa vituo vya mafuta wamevirudisha na vinatoa huduma, wewe uliotoa uhai wa binadamu wenzako, umerudisha wangapi?

Hakika nawaambieni muuaji yeyote ni adui wa kila mwanadamu aliye halisia, na ana laana kwani amekufuru kazi ya Mungu ya uumbaji. Tunaweza kubishana, tunaweza kugombana, t7naweza kutofautiana, lakini kamwe hayo hayastahili kuwa sababu ya kuuana. Samia amefanya kosa kubwa sana ambalo hata afanye nini, hana uwezo wa kuliondoa, atabakia nalo mlaka siku anakamilisha ratiba yake ya kuwepo Duniani. Kama anaamini kuna Mungu wa haki aliye tajiri wa msamaha kwao wente kumlilia, anastahili kufanya toba ya pekee, toba ya majuto, lakini akifanya kiburi, Mungu ndiye ajuaye atakachomfanya, na Mungu anaweza kutenda kupitia wanadamu mbalimbali katika Ulimwengu huu, anaowajua na asiowajua. Yeyote anayemjaza kiburi, anazidi kumwangamiza.
 
In this Senate Foreign Relations Committee SFRC hearing, Senator Jeanne Shaheen (D-NH) delivers a tough message to Samia Hassan regime
 
Unakaa mapori ya wapi?
hii tumeshajadili miezi mi4 iliyopita na ameshasahau kama alisema hivyo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…