Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
What did you expect? Tillerson was fired by trump while he was working in kenya, he had not even finished his visit, Pompeo was just appraising himself on what was discussed, he has been in office for only 2 monthsTrump's top diplomat calls Uhuru
Mmarekani anatambua hapana machezo
Hilo jambo la kuanzishia uzi humu? Yaani kupigiwa simu tu unakuja kuanzisha thread. Poor Kenyan!!!Trump's top diplomat calls Uhuru
Mmarekani anatambua hapana machezo
Mbona magufooli ata simu moja hajapata kutoka nchi kubwa duniani china na marekani? Mlikosea naniHilo jambo la kuanzishia uzi humu? Yaani kupigiwa simu tu unakuja kuanzisha thread. Poor Kenyans!!!
Mmmmh magufooli atapigiwa?What did you expect? Tillerson was fired by trump while he was working in kenya, he had not even finished his visit, Pompeo was just appraising himself on what was discussed, he has been in office for only 2 months
Mambo madogo madogo kama hayo unaweka kwenye public!!? Hayo mambo ya kuchekelea ukipigiwa simu ni ya watoto.Mbona magufooli ata simu moja hajapata kutoka nchi kubwa duniani china na marekani? Mlikosea nani
Childish? Ajabu usikondoe macho kwa hasira. Mimi naleta habari hapa dont shoot the messenger.Mambo madogo madogo kama hayo unaweka kwenye public!!? Hayo mambo ya kuchekelea ukipigiwa simu ni ya watoto.
Ndiyo maana Trump anaziita baadhi ya nchi za kiafrica Shitholes.
This is childish thread.
And becomes a news! Kunyaland banaaa..😀😀😀😀😀😀😀
So you mean His excellency Honorable President Uhuru Kenyatta the President and Commander in Chief of all Kenyan Forced Arms could be called by just a low mere US diplomat and respond rapidly? Oh God help
Message gani hiyo ya kitoto!!? Kwani ni mara ya kwanza Uhuru kupigiwa simu? Huo ni utoto. You have to grow up bro.Childish? Ajabu usikondoe macho kwa hasira. Mimi naleta habari hapa dont shoot the messenger.
And becomes a news! Kenyaland banaaa..
JPM was in difference distance of less than 150 kilometers from Germany minister in Tanzania and they never met until he left to EthiopiaMessage gani hiyo ya kitoto!!? Kwani ni mara ya kwanza Uhuru kupigiwa simu? Huo ni utoto. You have to grow up bro.
Haya ni mambo ya kukemea kabisa, ndiyo maana wazungu wanazidi kutudharau.
Wakati tukiwa watoto tuliaminishwa kwamba wakenya wametuzidi kwenye elimu. Utandawazi umefanya tujue tulidanganywa. Hawa wakenya tumewazidi sana akili.
Sasa hii nayo ni thread? SMFH.
Are you talking about ranking kijana. Hii Rank ya humu JF ni tosha kabisa. Wakenya humu mnapwaya sana.
Kula kwanza unone ndio uongee nliona pichaako nikakuhurumia enyewe Kenya inakukondeshaAre you talking about ranking kijana. Hii Rank ya humu JF ni tosha kabisa. Wakenya humu mnapwaya sana.
Hakuna critical thinker toka kenya. Thread zenu ni za kitoto kitoto tu. Hata tukienda JamiiForums.com tunaona. Mambo mnayojadili huko ni kama unayoyaweka humu.
Yaani mnajadili ukabila tu. Wakikuyu wanasifiana ujinga tu.
Are you talking about ranking kijana. Hii Rank ya humu JF ni tosha kabisa. Wakenya humu mnapwaya sana.
Hakuna critical thinker toka kenya. Thread zenu ni za kitoto kitoto tu. Hata tukienda JamiiForums.com tunaona. Mambo mnayojadili huko ni kama unayoyaweka humu.
Yaani mnajadili ukabila tu. Wakikuyu wanasifiana ujinga tu.
Tumewazoea kwa uongoHakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazotoa maamuzi huko UN, siyo kwamba Wakenya wenyewe kwa jihudi zao ndiyo walioleta UN Nairobi hapana, zilikuja kabla ya Uhuru!
Hakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazotoa maamuzi huko UN, siyo kwamba Wakenya wenyewe kwa jihudi zao ndiyo walioleta UN Nairobi hapana, zilikuja kabla ya Uhuru!
So mnajifanya hamuhitaji Germany? This is shithole mentalityThe Germany foreign minister landed in Tanzania early this month and never met president JPM until he left, JPM was in Morogoro with his official visit and did not even quit to respond to the Germany minister.
I wonder this dude with a mere diplomat