US top diplomat Mike Pompeo calls Uhuru,

Hilo jambo la kuanzishia uzi humu? Yaani kupigiwa simu tu unakuja kuanzisha thread. Poor Kenyans!!!
Mbona magufooli ata simu moja hajapata kutoka nchi kubwa duniani china na marekani? Mlikosea nani
 
What did you expect? Tillerson was fired by trump while he was working in kenya, he had not even finished his visit, Pompeo was just appraising himself on what was discussed, he has been in office for only 2 months
Mmmmh magufooli atapigiwa?
 
😀😀😀😀😀😀😀
So you mean His excellency Honorable President Uhuru Kenyatta the President and Commander in Chief of all Kenyan Forced Arms could be called by just a low mere US diplomat and respond rapidly? Oh God help
 
Mbona magufooli ata simu moja hajapata kutoka nchi kubwa duniani china na marekani? Mlikosea nani
Mambo madogo madogo kama hayo unaweka kwenye public!!? Hayo mambo ya kuchekelea ukipigiwa simu ni ya watoto.
Ndiyo maana Trump anaziita baadhi ya nchi za kiafrica Shitholes.
This is childish thread.
 
Childish? Ajabu usikondoe macho kwa hasira. Mimi naleta habari hapa dont shoot the messenger.
 
😀😀😀😀😀😀😀
So you mean His excellency Honorable President Uhuru Kenyatta the President and Commander in Chief of all Kenyan Forced Arms could be called by just a low mere US diplomat and respond rapidly? Oh God help
And becomes a news! Kunyaland banaaa..
 
Sikilizeni viumbe wa kutoka bongo. Kenya tunasakata boli ligi kubwa. Tunawacheza wamarekani na wachina vizuri. Tunanufaika. Kutoka marekani tunapata silaha za kisasa na ndege za kivita kutoka uchina tunapata miundo mbinu na kadhalika
 
Childish? Ajabu usikondoe macho kwa hasira. Mimi naleta habari hapa dont shoot the messenger.
Message gani hiyo ya kitoto!!? Kwani ni mara ya kwanza Uhuru kupigiwa simu? Huo ni utoto. You have to grow up bro.
Haya ni mambo ya kukemea kabisa, ndiyo maana wazungu wanazidi kutudharau.
 
And becomes a news! Kenyaland banaaa..

The Germany foreign minister landed in Tanzania early this month and never met president JPM until he left, JPM was in Morogoro with his official visit and did not even quit to respond to the Germany minister.

I wonder this dude with a mere diplomat
 
Message gani hiyo ya kitoto!!? Kwani ni mara ya kwanza Uhuru kupigiwa simu? Huo ni utoto. You have to grow up bro.
Haya ni mambo ya kukemea kabisa, ndiyo maana wazungu wanazidi kutudharau.
JPM was in difference distance of less than 150 kilometers from Germany minister in Tanzania and they never met until he left to Ethiopia
 
Wakati tukiwa watoto tuliaminishwa kwamba wakenya wametuzidi kwenye elimu. Utandawazi umefanya tujue tulidanganywa. Hawa wakenya tumewazidi sana akili.

Sasa hii nayo ni thread? SMFH.
 
Are you talking about ranking kijana. Hii Rank ya humu JF ni tosha kabisa. Wakenya humu mnapwaya sana.
Hakuna critical thinker toka kenya. Thread zenu ni za kitoto kitoto tu. Hata tukienda JamiiForums.com tunaona. Mambo mnayojadili huko ni kama unayoyaweka humu.
Yaani mnajadili ukabila tu. Wakikuyu wanasifiana ujinga tu.
 
Kula kwanza unone ndio uongee nliona pichaako nikakuhurumia enyewe Kenya inakukondesha
 
Are you talking about ranking kijana. Hii Rank ya humu JF ni tosha kabisa. Wakenya humu mnapwaya sana.
Hakuna critical thinker toka kenya. Thread zenu ni za kitoto kitoto tu. Hata tukienda JamiiForums.com tunaona. Mambo mnayojadili huko ni kama unayoyaweka humu.
Yaani mnajadili ukabila tu. Wakikuyu wanasifiana ujinga tu.
Hakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazotoa maamuzi huko UN, siyo kwamba Wakenya wenyewe kwa jihudi zao ndiyo walioleta UN Nairobi hapana, zilikuja kabla ya Uhuru!
Tumewazoea kwa uongo

Hakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazotoa maamuzi huko UN, siyo kwamba Wakenya wenyewe kwa jihudi zao ndiyo walioleta UN Nairobi hapana, zilikuja kabla ya Uhuru!
 
The Germany foreign minister landed in Tanzania early this month and never met president JPM until he left, JPM was in Morogoro with his official visit and did not even quit to respond to the Germany minister.

I wonder this dude with a mere diplomat

So mnajifanya hamuhitaji Germany? This is shithole mentality
 
Back
Top Bottom