Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
wataalmu wa uchumi na wenye data.
je tanzania
Tupeni darasa wataaamu wa mambo ya fedha na uchumi
je tanzania
- Tuna reservse au kiasi gani cha asset au akiba pale BOT kilicho katika USD
- Tuna reserve au kias gani cha aset na kiba pale BOT kilicho hifadghiwa kama GOLD.
- kuna sera yeyote inayoguideguide mambo haya???
- ina gain au inapoteza nini kutoka na mfumo wake wa reseve ulivyo sasa ?
- Baada ya US kuondoloewa triple A nini implication yake kwa mambo ya finance kwa tanzania.( Import, export ,etc)
Tupeni darasa wataaamu wa mambo ya fedha na uchumi