US waitishia ICC kuwa hakuna kumkamata Netanyahu

US waitishia ICC kuwa hakuna kumkamata Netanyahu

Viongozi wakorofi wa nchi maskini na wakomunist ndio wanashitakiwa na kufungwa na ICC, nchi tajiri ICC haiwahusu
 
Israel na Marekani sio wanachama wa ICC utatoaje warrant ya kukamata mtu ambaye Nchi yake sio mwanachama wa ICC

Afrika Wahuni tatizo la Sudan kaskazini lisingekuwepo la wao kupigana wao Kwa wao kama Africa kusini ingemkamata Omar Al Bashiri meanzilishi wa kundi la Janjaweed lililoua watu wengi sana Dafur watu weusi Sasa hivi linapigana na jeshi la serikalli ya Sudan na vita imeleta maafa mengi na shida Kwa wasudan
Kwaiyo hao ICC walivyotoa hati ya kukamatwa Russia ni mwanachama wa hiyo mahakama? Waafrika mmeumbwaje nyinyi hamjitambui?? ICC imeundwa kwa nchi masikini tu na sio kwa hao wababe wa dunia
 
Sahihi ICC ilitoa warrant ya Omar Al Bashiri akamatwe akitua Africa kusini . Africa ya kusini ikagoma.
Icc haiendeshwi kwa hisia kama wewe kuna majudge 12 waliosoma wakaelimika na wote ni wakristo kama wewe ila wakaona nani ana makosa swala sio nani aliopeleka ushahidi hizo shule mnazoenda kusoma hata sijui mnafundishwaga nini
 
Sawa ila unautumia vibaya huo ulikole wako.
Mimi na ulokole wapi na wapi, mambo ya dini mimi niliishakataa kwani hakuna dini ya kumwingiza mtu mbinguni.

Dini ni biashara za watu tu hapa duniani. Tumia akili ndogo tu, kwa nini dini ziwe nyingi na kila mmoja iwe na doctrine yake.

Kwa nini kwenye sayansi watu wanakuwa na consensus lakini kwenye dini ni dogma..!?!⁉️ Huoni kwamba huo ni usanii tu.

Kwa nini kwenye dini mtu anainasibisha zaidi na utamaduni wake.⁉️ Endeleeni kudanganywa sisi wengine hatuamini ktk dogma ila tunaamini katika reason.
 
Sasa kinachokufanya utake kujitoa roho kwajili ya wayahudi kitu gani?🤣
 
Hiyo icc inasikiliza kesi ya nchi ambayo ilikataa kutimiza matakwa yake South Africa iligoma kumkamata Albashir na Putin... wenye Makosa halali ndio waje wamkamate Netanyahu anayepambana na Magaidi amabayo sisi tu yalitutokea Kibiti na Mtwara tulijua nini maana ya magaidi... sometimes huwa siielewi hii Dunia..

Wanaounga mkono magaidi ni washenzi
Ushenzi unaanzia kwa mtu asiyejitambua kama wewe,kuna kipindi ANC ya afrika kusini ilikuwa ikiitwa ni chama cha magaidi na marekani pamoja na uingereza,na watu wajinga na wapumbavu kama ninyi,ni halali tu kuiita hivyo Iran.
 
Hiyo icc inasikiliza kesi ya nchi ambayo ilikataa kutimiza matakwa yake South Africa iligoma kumkamata Albashir na Putin... wenye Makosa halali ndio waje wamkamate Netanyahu anayepambana na Magaidi amabayo sisi tu yalitutokea Kibiti na Mtwara tulijua nini maana ya magaidi... sometimes huwa siielewi hii Dunia..

Wanaounga mkono magaidi ni washenzi
FB_IMG_1714420235830.jpg
 
Wamkamate Netanyahu kwa kosa gani?! Kupambana na ugaidi, kuwadhibiti hamas ama kuwasaidia wapalestina kuondoa utawala wa kigaidi wa hamas?!🤔
 
Cease fire ya nini sasa, waachwe tupate mbabe wa kweli.
ICC walishindwa kumkamata rais wa Sudan, wanaenda kutafuta sifa Israel.
 
Sasa kinachokufanya utake kujitoa roho kwajili ya wayahudi kitu gani?🤣
Nashangaa wewe ndio unawasujudia waarabu hata wanapowauwa kinyama na kiuonevu watanzania wenzako lkn bado eti unafumba macho na kuwaabudu tu kisa tu eti unathamini utamaduni wao.

Very hopeless indeed.
 
Nashangaa wewe ndio unawasujudia waarabu hata wanapowauwa kinyama na kiuonevu watanzania wenzako lkn bado eti unafumba macho na kuwaabudu tu kisa tu eti unathamini utamaduni wao.

Very hopeless indeed.
Sasa wewe mlokole wa Maji Matitu unapinga maandamano ya Marekani ndani ya Israel kwenyewe kuna maandamano yaani wewe una uchungu kuzidi Wayahudi wenyewe daah dunia kuna vituko.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1785569038845767897?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israel kuna waarabu wengi tu kwa taarifa yako na wako huru kuandamana kwa sababu Israel ndio taifa pekee la kidemokrasia katika mashariki ya kati tofauti na nchi zingine za kiimla zinazoendeshwa kwa sheria za kiarabu za karne ya saba za chinjachinja.

Nchini Saudi Arabia kila Ijumaa kunakuwa na adhira ya kuchinja adharani watu waliohukumiwa kwa makosa mbalimbali na hali hii inapelekea wasaudia kukimbilia nchi za magharibi ili kukwepa madhila kama hayo.
 
Wewe punguani huu uharo waambie mapuani wenzako hao mkiwa na walokole wenzako huko mndanganyana siku ingine usijaribu kuniandikia huu uharo wako.
 
Leo hii Marekani amekuwa wakulalamika sio tena kiongozi wa dunia ama kweli ukifuata mambo bila strategy lazima uingie shimoni tu na sasa imekuwa wazi multipolar world ishaingia tayarj is matter of time tu iwe dominant sasa kazi sie walalahoi wa Africa tunaanza vipi kujiposition tutakuwa regional leader au tutakuwa wafuasi kwa new multipolar world order.
Mandhari ya polisi wa Marekani wakimshambulia kikatili mwanafunzi kwa mshikamano na Palestina.

View: https://x.com/sprinterfactory/status/1785618180771086455?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Nashangaa wewe ndio unawasujudia waarabu hata wanapowauwa kinyama na kiuonevu watanzania wenzako lkn bado eti unafumba macho na kuwaabudu tu kisa tu eti unathamini utamaduni wao.

Very hopeless indeed.
Kwahiyo hao wanafunzi wa kizungu huko marekani wanaondamana kuipinga israeli nao wanawasujudia warabu?
 
Back
Top Bottom