USA, CHINA, URUSI na nchi za ulaya: Kipaji chako ndio utajiri wako ila hapa TZ mpaka uwe CCM

USA, CHINA, URUSI na nchi za ulaya: Kipaji chako ndio utajiri wako ila hapa TZ mpaka uwe CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna wizara ya ovyo sijui wizara ya vijana takataka tu.

Ni hapa tanzania tu ndio tunasema riziki ni mungu kumbe sio kweli wakati wenzetu wana mwajuma tena chupi kubwa.

Kwa wenzetu kipaji chako kiwe kwenye elimu,sanaa,akili,uwezo wowote we ni tajiri ukilinganisha na hapa kwetu yani profesa kawa chawa wa CCM.

Nikiona kama eleon musk, bill gates na wengine ambao hapa tuna mgunduzi wa JF ambaye tanzania imemuwekea VPN.

Hivi hii nchi wanataka kuwa na mtoto abdul tu.
 
Kule hata mfinyanga vyungu, mchonga mawe, mchoraji ni tajiri. Bongo kutwa nzima ni kuwekeana vikwazo tu, maendeleo yatatoka wapi? Unafunga mitandao wakati kuna watu wanafanya ugunduzi huko kuboresha kazi zao, hii akili ya wapi?
 
Kule hata mfinyanga vyungu, mchonga mawe, mchoraji ni tajiri. Bongo kutwa nzima ni kuwekeana vikwazo tu, maendeleo yatatoka wapi? Unafunga mitandao wakati kuna watu wanafanya ugunduzi huko kuborerha kazi zao, hii akili ya wapi?
Nani anafanya ugunduz bongo? Mwamposa au suguye
 
Kuna wizara ya ovyo sijui wizara ya vijana takataka tu.

Ni hapa tanzania tu ndio tunasema riziki ni mungu kumbe sio kweli wakati wenzetu wana mwajuma tena chupi kubwa.

Kwa wenzetu kipaji chako kiwe kwenye elimu,sanaa,akili,uwezo wowote we ni tajiri ukilinganisha na hapa kwetu yani profesa kawa chawa wa CCM.

Nikiona kama eleon musk, bill gates na wengine ambao hapa tuna mgunduzi wa JF ambaye tanzania imemuwekea VPN.

Hivi hii nchi wanataka kuwa na mtoto abdul tu.
Hata ccm mpaka ujipendekeze sana kuna madogo na mafaza yameliwa tako kisa teuzi na uchawa
 
Kule hata mfinyanga vyungu, mchonga mawe, mchoraji ni tajiri. Bongo kutwa nzima ni kuwekeana vikwazo tu, maendeleo yatatoka wapi? Unafunga mitandao wakati kuna watu wanafanya ugunduzi huko kuborerha kazi zao, hii akili ya wapi?
Kichekesho wanafunga, wanakataza raia na kuwatisha tukitumia VPN ni kosa! Kwao siyo kosa?! Yaani hawa ndorobo sijuwi hata Wana akili za namna gani! Uchumi wa blue au maendeleo utayapata vipi bila twitter, bila JamiiForums...
Halafu ETI tufanye MARIADHIANO?!
HATUNA VIONGOZI WENYE AKILI TIMAMU MDAU...
 
Wafungulie mitandao yote, kuifungia ni sawa na kufungia akili za wananchi wasiweze kugundua mambo. Unafungiaje mitandao wakati huu wa zama za mawasiliano ya kidijitali? Huko mitandaoni kuna shughuli nyingi zinafanyika, sio ngono na siasa tu, watu wanafanya uchumi wa kidijitali huko. Ni ujinga na upumbavu kufunga mitandao kwa sababu za ngono na siasa za kiharakati. Unazuia fikra pevu za wananchi kugundua fursa za kiuchumi na kudumaza hali zao za maisha
 
Mara x imezuiwa, mara jf imefungiwa, mara tik tok haipatikani kwa njia ya kawaida mpaka vpn, huko ni kuwanyima taarifa muhimu wananchi kufanya maamuzi ya shughuli zao za kila siku
 
CCM sera zao ni kodi za kufa mtu, rushwa, uchawa na michezo yote michafu, bila wizi hakuna kutoboa, nilifanya research ya kodi to compare TZ na USA, kununua gari Germany la 80,000$ na same car moja utume TZ na lingine USA, aliyeagiza bongo atalipa kodi na matakataka yote almost 70,000$ na USA 15,000$, tunajiumiza sana kwa kuongozwa na watu wasio na akili
 
Back
Top Bottom